Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.
God bless, defend and protect Israel.
gallow bird
“Mnawezaje kusema, ‘Sisi [Wayahudi] tuna hekima, kwa maana tuna sheria ya BWANA,’ ilhali kweli kalamu ya waandishi wa uongo imeiandika vibaya?” (Kutoka Biblia ya NIV, Yeremia 8:8)
“Mnawezaje kusema, ‘Sisi tuna hekima, na sheria ya BWANA ipo pamoja nasi’? Lakini, tazama, kalamu ya uongo ya waandishi imeigeuza kuwa uongo.” (Kutoka Biblia ya RSV, Yeremia 8:8)
Ndege za kupewa bora nife masikini kuliko kuwa omba ombaHebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.
Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.
View attachment 3439235
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.
adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
Akili za wakristo na waislam zinatofauti gan mkuuAkili zenu wagalatia hata yesu anashika kichwa
Hivi makao makuu ya mashoga si ni pale Tel Aviv?!Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.
Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.
View attachment 3439235
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.
adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
SalamalekoNdege za kupewa bora nife masikini kuliko kuwa omba omba
Subiri hio Airport itafungwa TUu na Muyemen, halafu hio pesa ya mwaraabu utake usitake inatoka Kwa waarabu Inaenda US ndio inarudi hapo