Punguza mihemko utajinyeaIDF Katikati kusimamisha Usalama wake Leo Ndege Tatu za Kivita za “Adir” (F-35i) zimetua Katika Kambi ya Jeshi la anga la Israel huko Nevatim
Msemaji wa IDF alitangaza kwamba ndege tatu mpya za kivita za “Adir” (F-35i) zimetua katika Kambi ya Anga ya Nevatim kusini mwa Israeli. Ndege hizo, zilizo tengenezwa na Lockheed Martin, itaingizwa katika Kikosi cha “Lions of the South” (Kikosi 116) na Kikosi cha “Golden Eagle” (Kikosi 140).
Nembo ya Jeshi la Anga la Israeli imechorwa kwenye ndege hiyo. Kuwasili kwa ndege hizo nchini Israeli, na tangazo la hadharani la IDF, kunatokana na mvutano mkubwa wa usalama unaozunguka uwezekano wa shambulio la Marekani dhidi ya Iran ambako ndege hizo mpya zinatarajiwa kushiriki kikamilifu katika mashambulizi hayo!!!
View attachment 3531623View attachment 3531624
We lazima tukukamate tukupeleke kwa viongozi wa Hamas ukatolewe bikraAcha ujinga zamani huko nyuma hukuwa hivyo nani alikuharibu??
Hii yote ya kwenda kumwangamiza mwanadamu duh!IDF Katikati kusimamisha Usalama wake Leo Ndege Tatu za Kivita za “Adir” (F-35i) zimetua Katika Kambi ya Jeshi la anga la Israel huko Nevatim
Msemaji wa IDF alitangaza kwamba ndege tatu mpya za kivita za “Adir” (F-35i) zimetua katika Kambi ya Anga ya Nevatim kusini mwa Israeli. Ndege hizo, zilizo tengenezwa na Lockheed Martin, itaingizwa katika Kikosi cha “Lions of the South” (Kikosi 116) na Kikosi cha “Golden Eagle” (Kikosi 140).
Nembo ya Jeshi la Anga la Israeli imechorwa kwenye ndege hiyo. Kuwasili kwa ndege hizo nchini Israeli, na tangazo la hadharani la IDF, kunatokana na mvutano mkubwa wa usalama unaozunguka uwezekano wa shambulio la Marekani dhidi ya Iran ambako ndege hizo mpya zinatarajiwa kushiriki kikamilifu katika mashambulizi hayo!!!
View attachment 3531623View attachment 3531624
Itafika mahala tutakosa wa kuipooza maana kila mmoja atawasha chakwake alicho nacho.Dunia Sasa Ya Moto Mno
Ni Kweli Sasa Wanyonge Ndiyo Tutapata TabuItafika mahala tutakosa wa kuipooza maana kila mmoja atawasha chakwake alicho nacho.
Hakika kabisa ndio maana kila siku yasemwa vita ya hawa wakubwa sio kabisa ya kuishangilia ndani mwetu hatukumudu wenyewe.Ni Kweli Sasa Wanyonge Ndiyo Tutapata Tabu
Utawala wa Ayatolah ukianguka ni furaha kwa ulimwengu wote dhidi ya ugaidi.Kama F-35 zina balaa kubwa namna Ile itakuaje Kwa hizi mpya...
Acha tusubiri tuone