..nakumbuka kusoma wasifu wa Rostam Azizi ktk gazeti la Rai wakati Mzee Mwinyi yuko madarakani.
..hivi Rostam hakuingia bungeni kwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi baada ya kifo cha Waziri Kabeho?
NB:
..nadhani rushwa ya wanamtandao ya kununua vyombo vya habari kuanzia mwaka 1995.
..mapesa waliyochukua toka Irani ku-finance kampeni yao.
..na mapesa mengine waliyochukua BOT kwa ajili ya uchaguzi.
..ripoti ya ukiukwaji maadili iliyotayarishwa na Katibu Mkuu wa CCM ikiwatuhumu wanamtandao.
..vyote hivyo ukivichanganya kuna uwezekano mkubwa ukapata IMPEACHEABLE OFFENCES.