peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ya Ndege au Tairi? 😃Picha..
picha mkuu
Unatufunga mdomo kwanini?Wabongo tupunguze ujuaji na kuongea kila jambo. Kila unaloona limekosewa? Ukipanda ndege unaongea, ukiingia ofisi ile unaongeaaaaa tooo much talk jamani
Kwahiyo watu wakae kimya wakiona tatizo, kisha yakitokea maafa mtoke nyie mliochagua kukaa kimya kusema hayo ni mapenzi ya Mungu?!Wabongo tupunguze ujuaji na kuongea kila jambo. Kila unaloona limekosewa? Ukipanda ndege unaongea, ukiingia ofisi ile unaongeaaaaa tooo much talk jamani
Airports ndani ya viwanja picha haziruhusiwi bila vibali, au unataka kufanya ughaidi?Picha..
Ile kitu wanaita "Common sense" ndio akili yenyewe. Uko makini sana!. 🙏WAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA!
Umewahi kufika airport?Airports ndani ya viwanja picha haziruhusiwi bila vibali, au unataka kufanya ughaidi?
Hutaki watoe maoni yao? Hata kama wamekosea. Hutaki kufahamu unaowapatia huduma wanauelewa gani kuhusu huduma yako?Wabongo tupunguze ujuaji na kuongea kila jambo. Kila unaloona limekosewa? Ukipanda ndege unaongea, ukiingia ofisi ile unaongeaaaaa tooo much talk jamani