habari zilizotufikia punde dege la airtanzania limerudi mwanza muda mfupi baada ya kuruka...tatizo halisi alijaelezwa na hakuna anaekuwa tayari kuelezea usiku huu wamanane hapa mwanza ila muda si mrefu ndugu yangu aliekuwa abiria ataniabalisha zaidi
habari zaidi za kuhuzunisha ndege nyingine iliobaki nayo mbofu toka majuzi wakibaki na ndege moja......hili shirika hata aje malaika wa mbinguni sijui kama lina muelekeo
Naungana na mdau aliyewapa pongezi Marubani kwa kundua dosari na kurudisha ndege Mwanza. Ila nawashangaa wale wanaolaum maana labda walitaka aende hivyo hivyo mpaka mwisho wa safari. Jamani ndege siyo Air Msae, ukigundua kasoro mpaka engineer akubali iende Certification vinginevyo hairuki.
Ningependa wale wasafari wanaopenda kufika haraka katika mambo ya ndege haiendi hivyo ukitaka haraka unakimbilia kuzimu.
Taarifa niliyoipata ni kwamba ndege iliporuka ilionesha engine oil pressure iko low na msukumo wa engine pia uko low. Taratibu za uendeshaji wa ndege zinamtaka rubani azime engine na kutua katika kiwanja kilichopo karibu. Hivyo ndivyo alivyofanya rubani.
Mafundi walisafiri jana kwenda Mwanza kuangalia tatizo ni nini. Kwa mujibu taratibu za kiufundi katika tukio kama hilo mafundi wanatakiwa kwanza kuangalia engine oil. Engine oil ilikuwepo ya kutosha.Leo wtaendelea na uchunguzi wa kina kubaini tatizo ikiwa ni pamoja na kufugua oil pump na kuzungusha engine manually ili kuona kama tatizo ni fuel pump hiyo ndio hatua ya pili kwa mujibu wa maelekezo ya kiufundi.Ndege nyingine ni nzima na inafanya kazi kama kawaida.