Ndege ya Australia yakamilisha safari ndefu kutoka New York hadi Sydney bila kusimama

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,060
Shirika la ndege la nchini Australia, Qantas limefanya safari ya majaribio ya ndege za kibiashara moja kwa moja kutoka New York, Marekani hadi Sydney nchini Australia ikiwa ni majaribio ya huduma itakayokuwa ya safari ndefu zaidi ya ndege za kibiashara Duniani.

Safari hiyo iliyohusisha ndege aina ya Boeing 787-9 Dreamliner ikiwa amebeba abiria 50 pamoja na wafanyakazi iliwasili jijini Sydney Jumapili asubuhi baada ya safari ya Kilometa 16,200 (Maili 10,066) ambayo ilidumu kwa masaa takribani 19 na dakika 16.

Hakuna ndege yoyote ya kibiashara kwa sasa ifanyayo safari ya moja kwa moja kwa umbali huo yenye abiria kamili na shehena ya mizigo.

Ili kuipatia ndege kiwango kinachohitajika, ndege ya Qantas iliondoka na mafuta ya kiwango cha juu, abiria wachache pamoja na mizigo ya kawaida bila shehena kubwa.

"Huu ni wakati wa kihistoria kwa Qantas, wakati wa kihistoria kwa safari ya ndege ya Australia na wakati wa kihistoria kwa safari za ndege za ulimwenguni," Afisa Mtendaji Mkuu wa Qantas Alan Joyce, ambaye alikuwa mmoja wa wasafiri, alisema baada ya ndege kutua.
******

Australia’s flag carrier Qantas completed on Sunday a nonstop test flight from New York to Sydney, researching how the world’s longest potential commercial airplane journey of nearly 20 hours would impact pilots, crew and passengers.

Carrying 50 passengers and crew on board, Qantas Flight 7879 on a new Boeing 787-9 Dreamliner touched down in Sydney on Sunday morning after a 16,200-kilometre (10,066-mile) journey which lasted 19 hours 16 minutes.

“This is a really historic moment for Qantas, a really historic moment for Australian aviation and a really historic moment for world aviation,”

Qantas Chief Executive Officer Alan Joyce, who took the flight, said after landing.

With demand for air travel rapidly growing and aircraft performance improving, carriers are increasingly looking into ultra-long-haul travel. The International Air Transport Association (IATA) expects the worldwide number of annual passengers to grow from 4.6 billion this year to 8.2 billion by 2037.

No commercial aircraft as of yet has the range to fly such an ultra-long haul with a full passenger and cargo load. To give the plane the needed range, the Qantas flight took off with maximum fuel, only a few passengers, restricted baggage load and no cargo.

The goal was to gather data, with a team of researchers to monitor, among other things, lighting, activity, sleep and consumption patterns of passengers, and crew melatonin levels. They also tracked the brain wave patterns of pilots, equipped for the flight with brain monitoring devices.

The aim of the research was, Qantas said in a statement, to increase health and wellness, minimize jet lag and identify optimum crew rest and work periods.

“The flight was very successful from two components - the first one was research,” Qantas Captain Sean Golding said.

“And also the feat of distance - that flight last night was 16,200 kilometers. We were airborne for 19 hours and 16 minutes, and we landed here in Sydney with a comfortable 70 minutes of fuel.”

The airline also plans to test a nonstop flight from London to Sydney and expects to make a decision by the end of the year whether to start the routes, which would commence in 2022 or 2023.

1571545942607.png

1571581595653.png

1571581497213.png

1571581717731.png
 
Mbona naskia unaweza toka nairobi mpk marekani bila kutua?sembuse Australia?
 
Dah! Unalala na kuamka mpaka unachoka...

Unakaa mpaka matako yanauma...

Sura inapakua... unatumia vitambaa vya moto mpaka unachoka...

Cc: mahondaw
 
Sipati picha Masikio yanazibaje... ough!
 
Da! Unakuwa haupo duniani kwa saa 19 kudadeki
 
wazungu vitabia vyao vya kujifanya wanaweka rekodi ndo yanawatokeaga puani.anyway mmethubutu,acha sisi miafrica tuendelee kukamuana wenyewe kwa wenyewe mpaka akili zitakapoturudia Mungu akipenda.
 
Mbona naskia unaweza toka nairobi mpk marekani bila kutua?sembuse Australia?
Mkuu inategemea marekani mji gani,halafu Australia kwen Marekani ni mbali kuliko Nairobi kwenda USA angalia Google map.
 
Ndege ya Shirika la Australia, Qantas imekamilisha safari yake ya kibiashara ya umbali mrefu bila kusimama ikifanya utafiti wa athari za safari ndefu zinazoweza kutokea kwa Marubani, Wafanyakazi na abira

Ikiwa na Watu 49 ndani, Boeing 787-9 Dreamliner imekamilisha safari ya Maili 10,066 kutoka New York, Marekani hadi Sydney, Australia kwa muda wa saa 19 na dakika 16 huku vipimo vya afya vikifanyika kwa waliokuwemo ndani ya ndege wakati wa safari

Mtendaji Mkuu wa Qantas, Alan Joyce amesema “Tunajua safari ndefu huleta changamoto zaidi, lakini teknolojia inaturuhusu kusafiri umbali mrefu. Utafiti tunaofanya utatupa mwanga kwa namna gani tunaweza kuimarisha faraja njiani”

Safari nyingine ya majaribio inatarajiwa kutoka London kwenda Sydney na safari ya New York kwenda Sydney itarudiwa tena ikiwa ni mpango wa Shirika hilo kutaka kufanya safari za Sydney, Melbourne, Brisbane, New York na London ifikapo 2022 au 2023
****

Australian airline Qantas has completed the longest non-stop commercial passenger flight, researching the potential impacts of ultra-long haul flights on pilots, crew and passengers.

With 49 people on board, the Boeing 787-9 Dreamliner flight completed the 10,066-mile journey from New York to Sydney in 19 hours and 16 minutes.

Qantas Group Chief executive Alan Joyce said: "This is a really significant first for aviation. Hopefully, it's a preview of a regular service that will speed up how people travel from one side of the globe to the other."

Research into the health and well-being of those on board were conducted during the flight with tests ranging from monitoring pilot brain waves, melatonin levels and alertness to exercise classes for passengers.

Joyce added: "We know ultra long haul flights pose some extra challenges but that's been true every time technology has allowed us to fly further. The research we're doing should give us better strategies for improving comfort and wellbeing along the way."

The next test flight will take place in November, from London to Sydney, while there will be another New York to Sydney flight before the end of the year.

Qantas has said it hopes to operate direct flights from three cities on Australia's east coast -- Sydney, Melbourne and Brisbane -- and New York and London by 2022 or 2023.

Captain Sean Golding said: "Overall, we're really happy with how the flight went and it's great have some of the data we need to help assess turning this into a regular service."
 
Natamani na mapanga yetu yafanye utafiti kama huo Dar to New York
 
Hii ndege ndiyo imekuwa ikisababisha sana ajali,imeruka tena!!?
Shirika la ndege la nchini Australia, Qantas limefanya safari ya majaribio ya ndege za kibiashara moja kwa moja kutoka New York, Marekani hadi Sydney nchini Australia ikiwa ni majaribio ya huduma itakayokuwa ya safari ndefu zaidi ya ndege za kibiashara Duniani.

Safari hiyo iliyohusisha ndege aina ya Boeing 787-9 Dreamliner ikiwa amebeba abiria 50 pamoja na wafanyakazi iliwasili jijini Sydney Jumapili asubuhi baada ya safari ya Kilometa 16,200 (Maili 10,066) ambayo ilidumu kwa masaa takribani 19 na dakika 16.

Hakuna ndege yoyote ya kibiashara kwa sasa ifanyayo safari ya moja kwa moja kwa umbali huo yenye abiria kamili na shehena ya mizigo.

Ili kuipatia ndege kiwango kinachohitajika, ndege ya Qantas iliondoka na mafuta ya kiwango cha juu, abiria wachache pamoja na mizigo ya kawaida bila shehena kubwa.

"Huu ni wakati wa kihistoria kwa Qantas, wakati wa kihistoria kwa safari ya ndege ya Australia na wakati wa kihistoria kwa safari za ndege za ulimwenguni," Afisa Mtendaji Mkuu wa Qantas Alan Joyce, ambaye alikuwa mmoja wa wasafiri, alisema baada ya ndege kutua.
******

Australia’s flag carrier Qantas completed on Sunday a nonstop test flight from New York to Sydney, researching how the world’s longest potential commercial airplane journey of nearly 20 hours would impact pilots, crew and passengers.

Carrying 50 passengers and crew on board, Qantas Flight 7879 on a new Boeing 787-9 Dreamliner touched down in Sydney on Sunday morning after a 16,200-kilometre (10,066-mile) journey which lasted 19 hours 16 minutes.

“This is a really historic moment for Qantas, a really historic moment for Australian aviation and a really historic moment for world aviation,”

Qantas Chief Executive Officer Alan Joyce, who took the flight, said after landing.

With demand for air travel rapidly growing and aircraft performance improving, carriers are increasingly looking into ultra-long-haul travel. The International Air Transport Association (IATA) expects the worldwide number of annual passengers to grow from 4.6 billion this year to 8.2 billion by 2037.

No commercial aircraft as of yet has the range to fly such an ultra-long haul with a full passenger and cargo load. To give the plane the needed range, the Qantas flight took off with maximum fuel, only a few passengers, restricted baggage load and no cargo.

The goal was to gather data, with a team of researchers to monitor, among other things, lighting, activity, sleep and consumption patterns of passengers, and crew melatonin levels. They also tracked the brain wave patterns of pilots, equipped for the flight with brain monitoring devices.

The aim of the research was, Qantas said in a statement, to increase health and wellness, minimize jet lag and identify optimum crew rest and work periods.

“The flight was very successful from two components - the first one was research,” Qantas Captain Sean Golding said.

“And also the feat of distance - that flight last night was 16,200 kilometers. We were airborne for 19 hours and 16 minutes, and we landed here in Sydney with a comfortable 70 minutes of fuel.”

The airline also plans to test a nonstop flight from London to Sydney and expects to make a decision by the end of the year whether to start the routes, which would commence in 2022 or 2023.

View attachment 1238861

View attachment 1239342

View attachment 1239338

View attachment 1239344
 
Back
Top Bottom