Ndege ya DHL yaanguka na kuvunjika vipande viwili

Investigation ya ajali ya mwaka huu inaeza chukua hata miaka kumi kukamilika ,
Si kitu rahisi

Hii itachukua muda mfupi, pilot and first officer survived, CVR and FDR intact. Hata miezi 4 majibu yatakuwa tayari
 
Investigation ya ajali ya mwaka huu inaeza chukua hata miaka kumi kukamilika ,
Si kitu rahisi
Haiwezi chukua miaka kumi bwana...maana wenzetu wanajua kuwa ni muhimu kujua tatizo ni nini incase issue ni design fault ambay ina affect ndege zote za aina hiyo.

Mfano sababu ya crash ya helicopter ya kobe ilishajulikana na episode yake imeshatengenezwa na kuonyeshwa
 
Yah nimesemea tu kwa sababu kuna nyingine zinachukua muda sana ku connect dots, na nyingine zina prove beyond doubt kuwa investigation haiwezi fanyika , mfano Malaysian air .hii kama ulivyosema pilot na co pilot wazima basi haitachukua muda sana .

Lakini pia kwa kuwa ni boeing basi Ntsb wataingia front mapema , ingekuwa ni Airbus, Ntsb huwa hawana command kwa ndege za nje ya America
 
Ila bwana hii kazi ya urubani inahitaji mtu makini sana yaani sleep patterns zako ulabu usinywe sana....akili iwepo pale sio unawaza migegedo. Aise pilots wanaishi maisha magumu sana
 
Niliwaambia ajali za ndege huwa zinafuatana,hapa bado
 
Ila bwana hii kazi ya urubani inahitaji mtu makini sana yaani sleep patterns zako ulabu usinywe sana....akili iwepo pale sio unawaza migegedo. Aise pilots wanaishi maisha magumu sana
Sio kweli, acha uongo!

Wanaofanya kazi kubwa ya kuongoza dynamics za ndege angani ni ground control centers.

Rubani kazi yake ni kuwasha ndege, kushuka attitude, kupanda na kukata kona.

Tena kuna attitude wakifika, wanaweka Autopilot, wanachapa na usingizi kabisa (wanaweka alarm)
 
Uongo wapi wewe.....ugumu wa kazi unakuja kwenye lifestyle kaka....kuzingatia kulala, kutokunywa monde hovyo, kukumbuka emergency procedures....wee kuendesha ndege wakati wa majanga unadhani ni kukuna mbupu....ina hitaji watu makini sana.
Pia ukumbuke kuna walimbwende ukiwa mzee wa mbususu hii kazi lazima siku uibwage ndege
 
Pilots wana kazi kubwa sana , sio hao ground crews. Kama unavosema , ground crews wanaongoza ndege kwa muda mchache sana , ikiwa inatua na ikiwa inapaa, tena ikiwa inapaa kama umewahi kusikiliza maongezi ya pilot na air controller hasa za ulaya pilot huwa anawaaga kabisa ground crews pengine hata haja command landing gear retraction..

Ikiwa angani pilots wanakazi ya kuangalia mambo mengi kuna turbulence, kwa mfano ,kuna birds strike n.k ,auto pilot ipo pale lakini haiondoi umuhimu wa jicho la binadamu na maaamuzi yake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…