Ndege ya Kampuni ya Silverstone yanguka katika uwanja wa ndege wa Wilson

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Ndege inayomilikiwa na Kampuni ya Silverstone Air imeanguka wakati ikijaribu kupaa katika Uwanja wa Ndege wa Wilson na ripoti inaonesha ndege hiyo iliyokuwa ikielekea Lamu kutoka Nairobi iliteleza kutoka kwenye njia ya kurukia

Kampuni hiyo imeeleza “Tunaweza kuthibitisha ndege yetu Fokker 50, 5Y-IZO imepata ajali wakati ikijaribu kuruka leo katika Uwanja wa Ndege wa Wilson majira ya saa tatu asubuhi. Ilikuwa inaenda safari ya Wilson-Mombasa-Lamu-Mombasa-Wilson.”

Wakati Mamlaka zikiendelea kuchunguza tukio hilo, abiria na Wafanyakazi wa ndege hiyo waliokuwemo ndani wametolewa wote huku wengine wakiwa na majeraha

Miaka miwili iyopita kulikuwa na tukio kama hilo ambapo ndege ndogo ya Shirika la Ribways ilipata ajali dakika tatu baada ya kupaa katika uwanja huo huo wa Wilson na watu watano waliokuwemo ndani walijeruhiwa na kupelekwa katika Hospitali ya Nairobi

6DA030BD-9994-476B-AF26-50FA94C4F929.jpeg

A plane belonging to Silverstone Air crashed at Wilson Airport shortly after take-off on Friday.

Reports indicate that the plane that was leaving Nairobi for Lamu skidded off the runway.

“We can confirm that our Fokker 50, 5Y-IZO has had an incident while taking off at Wilson Airport at 9am this morning. The aircraft was operating the Wilson-Mombasa-Lamu-Mombasa-Wilson route,” Silverstone Air said in a statement.

Passengers and crew are said to have been safely disembarked as authorities assess the situation.

A spot check on the website reveals that the aircraft is among six Fokker 50s owned by Silverstone Air.

Also in its fleet are four Dash 8-100s, three Dash 8- 300s and one CRJ-200 aircraft.

The airline operates six locations in Kenya: Mombasa, Kisumu, Malindi, Ukunda, Lamu and Lodwar.

There was a similar incident two years ago where a light aircraft operated by Ribways crash-landed off Wilson Airport three minutes after take-off.

The plane registered as 5Y-PEB crashed between the Southern Bypass and Kibera.

Five people who were onboard the aircraft at the time: 2 crew and 3 Citizen TV journalists, sustained injuries and were taken to Nairobi West Hospital.

Kenya Airports Authority confirmed that emergency services including fire trucks from Wilson Airport responded immediately and evacuated all the passengers.
 
Ndege ya Kampuni ya Silverstone Air imeanguka uwanja wa ndege wa Wilson katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema kuwa ndege hiyo ilipoteza mwelekeo wakati ilipokuwa ikipaa kuelekea Mombasa Ijumaa Alfajiri.

Picha kutoka eneo la mkasa zinaonyesha kwamba ndege hiyo ilianguka katika kichaka , ikigonga miti na kuvunja mojawapo ya mbawa zake kabla ya kuangukia ubavu mmoja.

Abiria mmoja ambaye alikuwa ndani ya ndege hiyo aliambia chombo cha habari cha Nation kwamba walikuwa bado hawajafika angani wakati rubani alipogundua matatizo.

Hakuna ripoti za moja kwa moja kuhusu majeruhi lakini abiria wengi walipatwa na mshtuko baada ya kunusurika kifo.

Kampuni ya ndege ya Silverstone , mamlaka ya ndege nchini Kenya KAA na uwanja wa ndege wa Wilson hazijatoa tamko lolote Hadi sasa.

Poleni majirani

Screenshot_20191011-110700.jpeg
 
Maskini, hili shirika mbona limeanza na majanga mapema hivi!!! Au ni hujuma kutoka kwa KQ?
 
Hapo ndio naona umuhimu wa kufunga mkanda muda wote wa safari hapo wote watakua wametoka salama bila michubuko
 
Hizi headlines zenu noma sana, imeteleza na kwenda nje ya njia wakati ilipokua inataka kupaa......'Ndege yaanguka Kenya!!!!'
 
😂 😂 😂 😂
Hata mimi hiyo headline imenishangaza
 
Kwani Ile bombadia yetu mbovu bado haijaanguka? yaan nipo nasubiri Kwa ham saana
 
Allah subhana wataala atuepushie Balaa hilo kwenye Dremliners,bombardiers na Airbus zetu
 
Bila shaka haijawaka moto. Ni matumaini yangu hakuna fatalities
Ndege inayomilikiwa na Kampuni ya Silverstone Air imeanguka wakati ikijaribu kupaa katika Uwanja wa Ndege wa Wilson na ripoti inaonesha ndege hiyo iliyokuwa ikielekea Lamu kutoka Nairobi iliteleza kutoka kwenye njia ya kurukia

Kampuni hiyo imeeleza “Tunaweza kuthibitisha ndege yetu Fokker 50, 5Y-IZO imepata ajali wakati ikijaribu kuruka leo katika Uwanja wa Ndege wa Wilson majira ya saa tatu asubuhi. Ilikuwa inaenda safari ya Wilson-Mombasa-Lamu-Mombasa-Wilson.”

Wakati Mamlaka zikiendelea kuchunguza tukio hilo, abiria na Wafanyakazi wa ndege hiyo waliokuwemo ndani wametolewa wote huku wengine wakiwa na majeraha

Miaka miwili iyopita kulikuwa na tukio kama hilo ambapo ndege ndogo ya Shirika la Ribways ilipata ajali dakika tatu baada ya kupaa katika uwanja huo huo wa Wilson na watu watano waliokuwemo ndani walijeruhiwa na kupelekwa katika Hospitali ya Nairobi

View attachment 1229587

A plane belonging to Silverstone Air crashed at Wilson Airport shortly after take-off on Friday.

Reports indicate that the plane that was leaving Nairobi for Lamu skidded off the runway.

“We can confirm that our Fokker 50, 5Y-IZO has had an incident while taking off at Wilson Airport at 9am this morning. The aircraft was operating the Wilson-Mombasa-Lamu-Mombasa-Wilson route,” Silverstone Air said in a statement.

Passengers and crew are said to have been safely disembarked as authorities assess the situation.

A spot check on the website reveals that the aircraft is among six Fokker 50s owned by Silverstone Air.

Also in its fleet are four Dash 8-100s, three Dash 8- 300s and one CRJ-200 aircraft.

The airline operates six locations in Kenya: Mombasa, Kisumu, Malindi, Ukunda, Lamu and Lodwar.

There was a similar incident two years ago where a light aircraft operated by Ribways crash-landed off Wilson Airport three minutes after take-off.

The plane registered as 5Y-PEB crashed between the Southern Bypass and Kibera.

Five people who were onboard the aircraft at the time: 2 crew and 3 Citizen TV journalists, sustained injuries and were taken to Nairobi West Hospital.

Kenya Airports Authority confirmed that emergency services including fire trucks from Wilson Airport responded immediately and evacuated all the passengers.
 
Kama ndege ikipata ajali na isiwake moto asilimia kubwa watu huwa wanapona ila kama walifunga mikanda.

Mfano kuna hiiajali ilitokea mwaka 2013 San Fransisco nchini marekani. Katika abira 300+ walikufa abiria wanne tu. Wawili hawakufunga mikanda, mmoja alibamizwa na mlango wa ndege na wa mwisho alikuwa ameshashuka kabisa akagogwa na gari la zima moto wakati anakimbia kutoka kwenye ndege.
Hapo ndio naona umuhimu wa kufunga mkanda muda wote wa safari hapo wote watakua wametoka salama bila michubuko
 
Hizi headlines zenu noma sana, imeteleza na kwenda nje ya njia wakati ilipokua inataka kupaa......'Ndege yaanguka Kenya!!!!'
Kama imeteleza ingeendelea na safari.mana kuteleza si kuanguka ndugu. IMEANGUKA bado apasomeki au vaa goggles
 
Ndege sio daladala, chochote kikienda kinyume na mpango lazima safari yote isitishwe, maana ikianguka husababisha maafa makubwa.
 
Back
Top Bottom