green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
BREAKING ⚡🚨 #Iran may Deploy short-range air defence system Azarakhsh in Lebanon, Syria and Iraq to save its proxies militias.Aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Zitapigwa zote hizoBREAKING [emoji298][emoji599] #Iran may Deploy short-range air defence system Azarakhsh in Lebanon, Syria and Iraq to save its proxies militias.
[emoji599] Iran send more short range Defense systems to protect IRGC and Proxies military sites.
BREAKING 🚨 US fighter jet reportedly shot down over eastern Syria. Video shows a piece of the wreckage!Habari iko too general ni ndege ipi ilio angushwa maana picha ume weka F22 raptor na huna hakika na taarifa yako punguza mihemko sheikh
Hiyo taarifa ni feki na hamna ndege yoyote ya kijeshi ya Marekani iliyoangushwa nchini Syria na huo ni muendelezo uleule wa taarifa za uongo zinazotolewa kutoka masjid ubwabwa.
BREAKING 🚨 US fighter jet reportedly shot down over eastern Syria. Video shows a piece of the wreckedHabari iko too general ni ndege ipi ilio angushwa maana picha ume weka F22 raptor na huna hakika na taarifa yako punguza mihemko sheikh
Angekamatwa ungekua aibu kubwa ila bado mapema wanaweza kumdaka kabla hajafika mbali..😂😂Huyo rubani tunampa cheo cha ukomando
Hamna lolote porojo tu za masjid ubwabwa.BREAKING 🚨 US fighter jet reportedly shot down over eastern Syria. Video shows a piece of the wreckage!
Source ni yeye mwenyewe.. Au labda yeye ndo hiyo tower ya umeme😀Hamna lolote porojo tu za masjid ubwabwa.
Kwani ukiandika kingereza ndio habari inakua ya ukweli?!BREAKING 🚨 US fighter jet reportedly shot down over eastern Syria. Video shows a piece of the wrecked
Msikiti TvNdege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army.
BREAKING:
According to initial reports, an American fighter jet crashed in government-controlled eastern Syria, home to numerous groups aligned with Iran.
The pilot's parachute has been found.