Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna Mrusi huyo alivompita ghafla katika tukio ambalo ni nadra sana kutokea.
Mpaka sasa Pentagon hawajatoa taarifa rasmi lakini wamedokeza kuwa wanafuatilia kuwa ndege hiyo ilifuata Nini katika eneo lao la kiulinzi. Russia anatuma Salam naona.
Mpaka sasa Pentagon hawajatoa taarifa rasmi lakini wamedokeza kuwa wanafuatilia kuwa ndege hiyo ilifuata Nini katika eneo lao la kiulinzi. Russia anatuma Salam naona.