Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Marekani anachokitafuta atakipata. Russia siyo Gaza au LebanonHatari sana
Hii ilikuwa usiione bahati nzuri mrusi wakati anaingia marekani akachukua na footage kwahiyo ikawa hakuna namna lazima super power wa mchongo atoe taarifa rasmi tu ili asipatwe aibu. Si unaona wanalalamika kuwa hii ni unprofessional sijui usenge senge gani.Wiki nzima ishapita
Nilijua tu mpo ambao itawaumiza hii habari. Bahati nzuri imeripotiwa na marekani wenyewe sasa wewe mnyaturu hapo ikungi endelea kusema ni chai .Chai
Upuuzi kivipi. Marekani anatamba duniani na ndege zake Kuna ubaya gani Russia kumpelekea ndege na yeye?Upuuzi tu ,watwangane Tuone!!
Nilijua tu mpo ambao itawaumiza hii habari. Bahati nzuri imeripotiwa na marekani wenyewe sasa wewe mnyaturu hapo ikungi endelea kusema ni chai .
Sasa si ndo watwangane,au nasema uongo!?Upuuzi kivipi. Marekani anatamba duniani na ndege zake Kuna ubaya gani Russia kumpelekea ndege na yeye?
Acha ndugu zako wa jf waongeze chumviRubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna Mrusi huyo alivompita ghafla katika tukio ambalo ni nadra sana kutokea.
Mpaka sasa Pentagon hawajatoa taarifa rasmi lakini wamedokeza kuwa wanafuatilia kuwa ndege hiyo ilifuata Nini katika eneo lao la kiulinzi. Russia anatuma Salam naona.
View attachment 3111547View attachment 3111549
Urusi anamsomea gap ajichanganye tu kidogo aone mziki wake bahati nzuri Huwa marekani anajua sehemu za kuchokoza Moja kwa Moja na sehemu za kwenda kwa Tahadhari.Sasa si ndo watwangane,au nasema uongo!?
Anatamba ndani ya Marekani kama vile Israel anavozirusha ndege za mmarekani kule Lebanon na Gaza si anazo chuma za uhakika?Kwamba Russia anaweza kwenda hadi whitehouse na akatoka na hakuna wa kumwambia kitu
Pole najua hii taarifa inauma lakini ndio hivyo sasa tufanyeje mkuu.Acha ndugu zako wa jf waongeze chumvi
Umeshaondoka Beirut?Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna Mrusi huyo alivompita ghafla katika tukio ambalo ni nadra sana kutokea.
Mpaka sasa Pentagon hawajatoa taarifa rasmi lakini wamedokeza kuwa wanafuatilia kuwa ndege hiyo ilifuata Nini katika eneo lao la kiulinzi. Russia anatuma Salam naona.
View attachment 3111547View attachment 3111549