expedition
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 935
- 2,995
Huenda zikawa ni bombadier za Taifa letu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitafurahi kikiitwa hivyo mkuuHiki cha dar kinaitwa J.N.I.A, kwahiyo hicho kitaitwa C.I.A. Kweli chato siyo ya mchezo mchezo.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hiki cha dar kinaitwa J.N.I.A, kwahiyo hicho kitaitwa C.I.A. Kweli chato siyo ya mchezo mchezo.
Umeongea kwa hisia bila kujua mimi nakitumia kwa kazi gani !!Si rahisi kukosa watumuaji.
inawezekana ata wewe ukakitumia tu.
Bado ni hisia tu zinaongeani habari njema kuona hata na wewe unakitumua.