Ndege ya precision air yatua uwanja wa kimataifa wa songwe mbeya ni safari yake ya kwanza,yapokelewa

Mbona meza kuu simwoni mbunge ? au hakualikwa?

Mbunge wa Chadema hawezi kukaa meza kuu na huyo DC wa Mbeya mla rushwa mkubwa!! Sugu ni RAIS wa Mbeya hawezi kuongozana na hivyo vikaragosi!!
 
Na hao fire sasa hapo mbona wanamwagiana Maji wenyewe kwa wenyewe? au walipooona inatua wakajua inaungua hii....hahahahaaaaa kazi tunayo Twambombo
 
Mpwa unashangaa ngoma mbona hayo maji hushangai kungekuwa na moto wangesema maji hamna!
 
Mbunge wa Chadema hawezi kukaa meza kuu na huyo DC wa Mbeya mla rushwa mkubwa!! Sugu ni RAIS wa Mbeya hawezi kuongozana na hivyo vikaragosi!!
haaa mhuuuu huyo sugu labda ni raisi wa mama yako
 
Nauli oneway kias gan? Wengine hatujawah panda ndege... Hapa n kwenda dar na basi kurud na ndege...lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na hao fire sasa hapo mbona wanamwagiana Maji wenyewe kwa wenyewe? au walipooona inatua wakajua inaungua hii....hahahahaaaaa kazi tunayo Twambombo

Wanashangilia kwa kuimwagia maji badala ya shampeni weweeeee. Waacheni watu wa Mby wafurahi, ni miongoni mwa mikoa mikubwa iliyokuwa haina usafiri wa ndege jamani. Yaani uwe na pesa au huna kwenda Mby ilikuwa lazima upande bus na usafiri km 810.
 
hiyo habari hapa sio jukwaa lake mnatujazia server tu

SIO JUKWAA LAKE? ni LIPI JUKWAA LAKE? nieleweshe... HOW NINAWAJAZIA SERVER??? ELIMU ni UFUNGUO nielimishe ILI nisirudie KUJAZA SERVER TUU...
 
Tu nauli twambmbo na tu mafijo ni tu ngapi? Ndga fijo na malori na mafiati na mapikipiki na sasa na mandege ya precision as well
 
Aiseeeeeee babayangu huo uwanja utamsaidia nini mkulima wa jembe la mkono
 
Vichekesho hivi.........ndege ya kibiashara inatua watu mnatoka maofisini kwenda kuichezea ngoma?
Wakati Scandinavia ilipoanza safari kwenda mbeya mbona hamkuichezea ngoma pia.

Bado sana - hayo matumizi ya fedha hapo nani amelipia?
Au ndo zile fedha kutangaza maendeleo ya CCM??

BADO SANAAAA!!!
Miafrica tunapenda kufanya mambo ya hovyohovyo tu!

Hii ni nini sasa....
 
SIO JUKWAA LAKE? ni LIPI JUKWAA LAKE? nieleweshe... HOW NINAWAJAZIA SERVER??? ELIMU ni UFUNGUO nielimishe ILI nisirudie KUJAZA SERVER TUU...
Angalia usije ukapewa ufunguo wa CHOO CHA MASHOGA.

hahahahaa
 
hivi hii precision ndo shirika la ndege la taifa eeeh?:confused2:

wabongo hamkosi la kuongeaaaa????anyway labda wanasherehekea kumaanisha kuwa wamewezesha kuanza usafiri wa ndege to mbeya or uwanja umezinduliwa kama walivyoahidi kuujenga.
 
tuwaunge mkono precisionair kwani ni shirika la wazawa kuliko fastjet ya wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…