babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
akina nani wapuuzi kwa nini na wewe usiwepo kwemye hilo kundi kwa kukosa busara na kutukana bila sababu.
huyu mtu si bado hupo hai, basi ni vizuri tumtafute tumuulize - inaonekana hii ndenge baada ya kutua wakachomoa engine wakaiuza ?....Hata kama mtakula NYASI/majani ya Migomba/kahawa/katani/tumbaku/miwa...ndege lazima inunuliwe...kauli ya Mbunge akitetea kodi ya wananchi itumike kununulia ndege ya Baba Mwenyenyumba
mkuu hivi ni kweli ngoma imepaki hapo uwanjani? its hard to believe mambo haya! ndege mpya kabisa duh!Wapuuzi kabisa; kwani walipoamua kuinunua hawakujua gharama za uendeshaji wake??? Kwa hiyo ni pambo tuu hapo kwenye PARKING uwanja wa ndege??? Kweli hii nchi ni zaidi ya shamba la Bibi!!
mkuu ni vigumu kuamini haya mambo, kiukweli inauma sana, kama kweli watu waliamua kufanya hivi walivyofanya na wapo wanadunda !! aisee!!!wameuza vyuma chakavu
Poleni na mjadala wa Katiba; mimi leo nimeota rais akiwa anapanda ndege imeandikwa Tanzania Air Force One; akielekea nje ya nchi; Nikiwa njiani kuja hapa kibaruani kwangu nikawaza maswali mengi tu bila kupata majibu sahihi; Je ndege hii ipo wapi? Je ina hali gani kwa sasa? Je ilishawahi kufanya safari ngapi nje na ndani ya nchi? ilinunuliwa bei gani? Nikifika aiport yetu huwa najitahidi sana kuangaza angaza ili walau niione lakini wapi? anyejua anijuze maana mali hii ni yetu sote watanzania.