KWELI Ndege ya Rais yaonekana Dubai, leo Julai 28, 2023

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️👀🇹🇿
 
Jikusanya muandamane mpaka Chamwino moja wenu awe rais hiyo ndio dawa kulalama hakusaidii
 
Ndege yetu Gulf Stream inayotumiwa na Rais ipo wapi kwa sasa? Mara ya mwisho ilikuwa angani kutoka Dubai kuelekea Saudia. Je ilimbeba nani katika safari hiyo? na Je Rais yupo wapi? Kuna fununu kuwa safari za Dubai tena za kisirisiri zimekuwa nyingi kwa siku za karibuni ambapo wakati wa Bunge la Bajeti zilifanyika safari mbili za kimya kimya moja ikianzia Dar na Nyingine Zanzibar.
 
Huyu mama akatishiwe urais tuu hii ndoa yake na waarabu wake itatutumbukiza kwenye hatari kubwa sana ya kuwa koloni la waarabu
 
Aisee!
Labda kuna mchakato wa kutua zigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…