Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner


Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.
Haya kikwapi mmenunua midege imepaki, wenzenu hao wanafika new york, kuna mtu hazina kaweka xhumbani kwake na mafaili
 
Watalii wangapi wamekuja mwaka sasa umepita midege imepaki
 
KLM Ni zao wana 65% na 35%za kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
At least tumia masomo uliyopata darasani ipasavyo
KLM shareholding at Kenya Airways diluted to 7.8pc in new deal - Capital Business
 
Hizo ndege n kipaumbele chetu tangu mwanzo?? Kwann wasingejenga viwanda vijana wapate ajira... Mbon vipaumbele vnaruka ruka?? Je ndege ilikuwa kwny ilan ya ccm?? Au ndege n agenda ikiyoibuka tu??
Je ndege hizi zmenunuliwa kwa kufuata utaratibu?? Je bunge waliptsha mapesa yote ayo??? Mim cpingi maendeleo ila naona tumebugi kwenda kununua mandege ambayo yamekaa ambayo hayana return

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua route za ndege znavyopatikana? Dnt talk as sleeping body...
Ndege n complx busnes ambyo sdhan km tungeingia kwny bus zsizolipa kw haraka.
Ilan inasema uchumi wa viwanda sio mindege mingi na ime park airport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli bana ata ukiingia ktk website ya boeing iyo order yao inaonekana ipo active ....sasa huku ni kukufuru midege yotee tunanua kwa pesa yetu
 
ni kweli bana ata ukiingia ktk website ya boeing iyo order yao inaonekana ipo active ....sasa huku ni kukufuru midege yotee tunanua kwa pesa yetu

Mbona sioni order ya Dreamliner? Hata ukiangalia ATCL fleet, hawaonyeshi kama wanna future order
 
Inasikitisha sana kuona wengine wakiiombea NCHI YETU mabaya KILA kukicha.
Sijajua wana MAANA GANI. KAMA unakumbuka ndege ilivyokamatwa Canada ilikuwa FURAHA kwao.

Na mlikana kuwa hakuna ndege iliyokamatwa.
 
Sasa hizo debe zitafanya safari za kwenda wapi???Bombay Bado???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…