Ndege ya Saudi Arabia yaungua moto Sudan

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Shirika la Saudi Arabia limesema moja ya ndege zake aina ya Airbus A330 ilihusika katika "ajali" baada ya video kuionyesha ikiwa moto kwenye lami katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum wakati wa mapigano."

Saudia imesema katika taarifa yake leo Jumamosi kwamba, safari zake zote za ndege zilisitishwa baada ya tukio hilo. Haikufafanua sababu ya "ajali" hiyo ingawa ilionekana ndege hiyo ilinaswa katika mapigano ya Vikosi vya Msaada wa Haraka na wanajeshi wa Sudan wakipigana kuzunguka uwanja wa ndege.

Ndege nyingine pia ilionekana kushika moto katika shambulio hilo.

Tovuti ya ufuatiliaji wa ndege ya FlightRadar24 iliitambua kama SkyUp Airlines B737.

Ajali.jpg

Huko Sudan leo kuna ndege ya Emirates imekwepa kupita kwenye anga lao. Huenda hiyo ndege ya Saudia imetunguliwa.
 
Ufukara wa akili ni hatari sana, wanachopenda kitokee matokeo yake ni mabaya kwao kuliko nia zao.
 
Shirika la Saudi Arabia limesema moja ya ndege zake aina ya Airbus A330 ilihusika katika "ajali" baada ya video kuionyesha ikiwa moto kwenye lami katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum wakati wa mapigano."

Saudia imesema katika taarifa yake leo Jumamosi kwamba, safari zake zote za ndege zilisitishwa baada ya tukio hilo. Haikufafanua sababu ya "ajali" hiyo ingawa ilionekana ndege hiyo ilinaswa katika mapigano ya Vikosi vya Msaada wa Haraka na wanajeshi wa Sudan wakipigana kuzunguka uwanja wa ndege.

Ndege nyingine pia ilionekana kushika moto katika shambulio hilo.

Tovuti ya ufuatiliaji wa ndege ya FlightRadar24 iliitambua kama SkyUp Airlines B737.

View attachment 2589089
aise
 
Back
Top Bottom