Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Nithibitishe nini ..icho kiwanda cha mtwara kimejengwa na nini.!? Kiwanda anachojenga kule kwao ambacho kikikamilika ni sawa na USD billion 9 ..sasa uyo mayweither anaeza show kama izo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa swali nililokuuliza na jibu ulilolitoa?


Unajua Casino la Floyd Mayweather sawasawa na viwanda vingapi vya Dangote?
 
Sijamfatilia sana, lakini mtu aliyewekeza hawezi kununua ndege 5 za kutumia kwa utajiri ambao hata USD 1 bil hajafikisha.

Ndege 5 za kupiga misele, siyo za biashara!
Dah afu kweli ..maaa mtu kama biligate sidhani kama ana ndege hata mbili za kufanya anasa..

Ila ndio tatizo la watu weusi wa marekani ..hawanaga future za miaka hamsin au sitini badae ivi...

Wakishika mipunga ni kuwaza ngono, kubadilisha magari..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelewa swali nililokuuliza na jibu ulilolitoa?


Unajua Casino la Floyd Mayweather sawasawa na viwanda vingapi vya Dangote?

We jamaa inaonekana unampenda sana Floyd, Aliko Dangote ana zaidi ya USD 10 bil, means May ana less than 8% ya utajiri wa Dangote. Ndo unalinganisha!
 
Ana ndaguro analiita Girls Collection yaani kumbe mwanamasumbwi muafrika mwenye akili kidogo ni Tyson

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelewa swali nililokuuliza na jibu ulilolitoa?


Unajua Casino la Floyd Mayweather sawasawa na viwanda vingapi vya Dangote?
Hahaha acha dharau kwa Aliko wewe ..

Hao maiwetha 15 ndo Dangote mmoja. Hivi kwanza unajua Dangote ana kiasi gani? Yeye ndo mweusi wa kwanza mwenye pesa ..

Mo wa simba kamkimbiza uyo Mayweither..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana namna ya maisha ambayo amejichagulia kuishi.

Wewe mwenye future una nini cha maana unachomiliki ,tena unaweza kukuta unakaa nyumba ya kupanga, una miliki tecno, matumizi yako kwa siku hayazidi hata elfu 10.
 
Wanaku rise halafu wanakufungulia kesi za ubakaji ndio unakuwa mwisho wa kila kitu.

Muda ndio muamuzi wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Siku hizi wengi wamebadilika, watu kama kina Michael Jordan, Diddy, Jay Zee, Dr Dre, LeBron James, Magic Johnson na wengine wengi wanaowekeza wamekuwa chachu kwa wanamichezo na wasanii weusi kuwekeza.

Bata wanakula kutoka kwenye mafaida, na si kutumbua mitaji, utawakuta kwenye Real Estates na Stock business, huwezi kukuta mwekezaji anamiliki ndege 5 kwa matumizi tu. Moja au mbili ni tosha kabisa.
 
Kila mtu ana namna ya maisha ambayo amejichagulia kuishi.

Wewe mwenye future una nini cha maana unachomiliki ,tena unaweza kukuta unakaa nyumba ya kupanga, una miliki tecno, matumizi yako kwa siku hayazidi hata elfu 10.
Iyo namna ya kuishi ya blacks wa USA ni kishamba sana ..ndo maana tuzo kama Grammy wataskiaga na kuonaga tu kwenye TV..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo akili za black American yani ni ngono, pombe, kununua magari ya bei ghali ..hawana future kabisa ndo maana wazungu wanawadharau wao wanaona kama wanaonewa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa wala hawana msaada kwa Waafrika wenzao. Kuna huyu 50cent nayeye ovyo tu kila siku anapost ujinga tu. Hivi karibuni kuna afisa mmoja wa polisi alikuwa amepanga mpango wa kumpiga risasi za kutosha naona ingependeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…