Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Unapokataa ushauri na kujifanya kila kitu unajua ndio madhara yake hayo sasa

Tatizo kiongozi anakuwa mungu mtu only in Africa

Jitu linachukia matajiri

Ndugu, ni mifumo yetu tu hovyo na mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho.

Hata hili la Bandari walau mama ameamua kuliko wazi ila potelea pote linafanyika bila kujali ya hizi kelele.
Akija jamaa mwingine na kuuvunja atakula shangwe.
 
Dash,sijaelewa vizuri ni eneo la makurunge bagamoyo, bado na serikali ya mapinduzi zanzibar imetoa ultimatum kwa wavamizi meishowe ninini
 
Mwamba Jiwe Magufuli hakuogopa kuvunja mkataba wowote eti kwa kuogopa kushtakiwa. He was a real leader afraid of NOTHING!!!
 
Hapo mgao mkubwa sana utaingia mifukoni mwa waliofanikisha dili, sasa hizo bilioni karibu. 500 hazitoshi kununua ndege mpya?
Na kuna mswada unaandaliwa na itapita tu marinda yenu kuwekwa rehani. Wee subiri utaona.
 
Hayo madudu aliyafanya Kikwete na Serikali yake.
Hii Nchi ikiongozwa na Muslim huwa ni majanga matupu,nyie huwa hamna uchungu kabisa na Nchi.
 
Ndugu, ni mifumo yetu tu hovyo na mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho.

Hata hili la Bandari walau mama ameamua kuliko wazi ila potelea pote linafanyika bila kujali ya hizi kelele.
Akija jamaa mwingine na kuuvunja atakula shangwe.
Ndio tatizo la mamlaka na nguvu wanazopewa maraisi au kujiwekea nguvu za ziada na vitisho kana kwamba hakuna sheria

Viongozi wa Africa wote wako hivyo wanaweza kuwa wauwaji, majizi, kuwa na kundi la majangili yaani anavyoona yeye inavyomoendeza na kuendana na hali ilivyo

Sio wa kwetu bali hata wa nchi nyingi za kimasikini wana tabia zinazofanana

Mtu anafanya makosa lakini anaona aibu kuchutama anakomaa palepale hata kama kuna mamia wataangamia au maelfu watalala njaa they don't give a toss
 
Acha ujinga kuliko tatizo hili la sasa litakalifanya kizazi kirudi utumwani. Angalia kilemba chako kisifinike akili yako ndogo uliyonayo
Mtumwa ni wewe wa mwendazake nenda kalinde kaburi kwa sababu Firauni mwendazake alikufanya wewe kijakazi wake
 
Kesi ilisikilizwa wakashinda Tanzania haikulipa ndio wakatafuta mawakala wa kusaka mali za Tanzania popote waliposajili hukumu ndio ndege ilipotua Holland wakaidaka.
 
Akimaliza kukaimu Uraisi....huyu DPW naye afungashe tu. Lazima tukomeshe upumbavu na upuuzi wa kuwakumbatia "Wawekezaji wa Kibeberu" Tuwe makini wakati wote.

No to DPW.
 
UJjinga! umelipa fdha ngapi?
Wewe unamuona mbaya Magufuli tu bila aliyeingia mkataba wa kijinga Kikwete unaona poa tu! Unajua huo mkataba feki tungelipa trillion ngapi kama TANESCO ilivyohangaika na Dowans miaka nenda rudi kwa upumbavu wa Kikwete na akina Rostam!
 
Ndugu, ni mifumo yetu tu hovyo na mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho.

Hata hili la Bandari walau mama ameamua kuliko wazi ila potelea pote linafanyika bila kujali ya hizi kelele.
Akija jamaa mwingine na kuuvunja atakula shangwe.
Huyu Bibi yako tapeli hajaweka wazi watu ndo wameuweka wazi mkataba! Ficha Ujinga wako!
 
Hawa wa hovyo wanaingia mikataba ya hovyo akija mjinga mwingine ataivunja kwa kuwa ni ya hovyo bora ni kuzuia kabla ya kuisaini!
 
Kama ni kweli basi ni aibu kubwa kwa alielipia ndege yenye thamani ya B200 kwa B400. Hii ni dalili za wizi. Alielipwa ni wabongo humu humu. Wala msimuingize JPM humo. Hata hivyo DP World iko pale pale. Hatutaki kuwapa mali yetu wawekezaji wa kimchongo.
 
Hawa wa hovyo wanaingia mikataba ya hovyo akija mjinga mwingine ataivunja kwa kuwa ni ya hovyo bora ni kuzuia kabla ya kuisaini!
Wangekuwa wajinga wangeweka vipengele vya hauvunjiki milele. Wakati mwingine kujifanya mjinga au kuitwa mjinga ni mtaji vile vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…