Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Suala si Nani kavunja Bali Nani aliijngia mikataba ya ivyo.mfano kwenye madini tulikuwa tunapata asimia 3tu basi nyingine 96 ilikuwa inapelekwa ulaya
 
Mimi nikisema magufuri alikuwa na matatizo ya kufikili kuna watu humu huwa wanachukia sana ...lakini huo ndio ukweli
We're kilaza inaamana wanajeshi wanaofanya mapinduzi nchi za Africa magaribi wanafanya makosa kwa SBB kila wakipindua wanabadilisha hata miktaba ya mauzi ya ulanium.Hiyo haina tofauti na magufuri alivyofabya kwenyw madini na hayo mengineyo
 
Umnyang'anye wewe mtu shamba umpe Bakhresa halafu useme kasababisha Mkapa na Kikwete?

Na meli ya uvuvi aliikamata nani?

Jamaa alilewa madaraka mapema mno.
Afadhali hili la kumpa bachressa kuliko hao wajinga WA ecoenergy wamekaa na aradhi zaidi ya miaka 10 bila kufanya chochote
 
Kama magufuli asingekufa hao echo energy wala wasingedai kuvunjwa mkataba kwani sheria iko upande wetu. Ukiwa na wapigaji kuongoza wenyewe watawafuata hao kina echo energy kuwashawishi wadai na wao kuhakikisha serikali inashindwa mradi wanatoa percent. Ndio maana wamesubiri hadi magufuli amekufa ndio ukaona madai. Na kila madai yatakayoletwa samia atawaambia tulipe maana wanachotaka pia ni kuonnyesha eti magufuli alivunja mikataba kibabe.
 
Suala si Nani kavunja Bali Nani aliijngia mikataba ya ivyo.mfano kwenye madini tulikuwa tunapata asimia 3tu basi nyingine 96 ilikuwa inapelekwa ulaya
kesi zote ni mkataba mpya wa mwendazake na wenzake kina kabudi na yule profesa uchwara mwengine, zinatutokea puani sasa.
 
Aliyesababisha kuvunjika kwa mkataba mali zake zipigwe mnada kufidia hasara hiyo kwa taifa ili liwe funzo watu kuheshimu mikataba.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hata ikiwa yake atakufa ataziacha.
wale ECO wahuni dah, yaani ile ardhi si ajabu waliipata bure au ECO yenyewe ni mali ya yule msela wa Saigon na ilikuwa part and parcel ya zile project zake za kuicolonize Tanganyika to his saigon empire.
 
kesi zote ni mkataba mpya wa mwendazake na wenzake kina kabudi na yule profesa uchwara mwengine, zinatutokea puani sasa.
Lakini kinwete na Mzee wa. Qkengeza ndo walikuwa wanauza kila kitu bila kujali
 
Oza vzr Jiwe huko uliko
 
Na lingekuwepo mpaka leo ingekuwa majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…