Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Watu waache kupaniki hivi fikiria Kwa mfano una nyumba yako masaki umemuachia baba yako aisimamie we mwenyewe unaitegemea kupata kupata kipato unakuta baba kaipangisha chumba kimoja elfu 10 kwa mwezi alafu kachukua hela ya miaka 10 na unajua kabisa hii nyumba ilipaswa kulipwa laki 5 Kwa mwezi na baada ya mwaka hiyo Kodi inaweza kupanda tukapata zaidi ya laki tano Kwa mwezi, wewe ungetumia busara gani?
 
Nasik
Nasikia na kesi zingine bado kuamuliwa, tutaendelea kukamuliwa
 
Na huo ni uongo pia na kwa taarifa mie mzee mwenzako. Nayajua mengi sawa na wewe au kukushinda🤔😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…