Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Tz shamba la Bibi Hao jamaa na mengine yapo humu humu Tz yametupiga tena. Lile zee halina aibu kabisa
 
Madudu bado yatafumuka..
 
Ukiona hivyo ujiuwe hao ni mijikondoo iliyokosa mchungaji.

Katutia kwenye matatizo mengi hayasemwi tu.
Acha ujinga kuliko tatizo hili la sasa litakalifanya kizazi kirudi utumwani. Angalia kilemba chako kisifinike akili yako ndogo uliyonayo
 
Ndege imenunuliwa bei gani?
 
na unaanzaje kuingia mikatababa ya hivyo na yenye masharti ya hivyo!? au ni zile kumi pasenti ndo zinazowafumba akili !!?? NI upuuzi wa hali ya juu !!
 
Utakuwa umejinyea ww sio bure
 
Kwahio mwenye kosa ni aliyeingia Mkataba Mbovu au aliyevunja mkataba Mbovu ?!!!

Alafu hatujifunzi haya yanayoingiwa sasa hivi ni nani atayavunja na yatatucost kiasi gani ? Bila kuwa na Transparency ya haya madudu tutaendelea kuchezewa kila siku; Huenda huo mkataba ungekuwa wazi kuanzia mwanzo wala usifikia hitimisho..., Lakini hatukomi tunaendelea tu na usiri wa Mikataba...
 
Hata huu mkataba wa bandari tutauvunja, wacha tupelekwe mahakamani
 
Fisadi na wanasheria nchini wamepiga dili tu. Eti nchi imerevoke tittle wakati nchi yetu mgeni hamilikishwi ardhi.
 
Unajua ukiwa Rais unatakiwa kuwa na busara sana.....

Kwani hapa Tanzania hakuna sehemu nyingine inayofaa kwa project ya kulima na kuzalisha sukari?

Magufuli kavunja mkataba... Tunaishia kulipa mabillions...
Hakuweza kumtafuta huyo mwenye shamba wakaongea naye... hata kuulizwa umewekeza kiasi gani tukurudishie gharama? kama kweli mnalitaka?
Hapa naona watu wanalaumu Kikwete... Ila Magufuli kasababisha maafa mengi kwa Serikali kwa kukurupuka.... Hilo lazima lisemwe kwa uwazi bila kificho
 
Wewe bibi bora Magufuli alivunja hiyo mikataba ya kipumbavu!

Ni bora kulipa bilioni 400 kuliko tungeendelea kunyonywa kwa miaka na miaka!


Mfano kwa mkataba huu wa kipumbavu wa wajomba zenu ni bora uvunjwe tulipe hata til. 1 kwa mkupuo kuliko kuendelea kuukumbatia.
 
Yule mzee alikuwa iblis
 
Jjiwe was a crazy
 
Watu wanaingia uwekezaji feki ili kupiga dili la fidia. Enzi ya jk na sasa samia utaona dili za mtindo huo.
 
Hongo ya waarabu walodi ime destroy ubongo wako bibi ...ndio maana mimi natafuna nguruwe na kushushia K-Vant nikiona tuu vihoja vya kimpumbavu kama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…