Ndege ya Vita ya Marekani imetua Florida Muda huu baada ya kukaa angani kwa muda mrefu ikirekodi hali ya usalama wa Taifa

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Ndege maalumu ya siri ilokaa angani kwa miaka 2 imetua Leo mjini Florida baada ya kukamilisha operation zake kukagua usalama wa USA dhidi ya Wabaya wake



Inasemekana ni ndege pekee ambayo Ina uwezo wa kufanya orbital recording in long range,

Target ni IS na Russia



Britannica
 
Nimesikitika kweli maana imemuuwa na watoto wake wawili wasio na hatia pangoni it was so suddenly attack /
hakika kwa technology ya sasa ya US wanaweza hata kukutumbukizia bomu ndani ya chumba chako na hata kama unalala uvunguni ugeni ukakufika..😛
 
How?
 

Halafu nyie mnawafunga wakina Kabendera kuwa wanawapa taarifa mabeberu kwa kuandika kwenye vijarida wakati mabeberu wanauwezo wa kupata hizo taarifa kwa kutumia technology yao!!

Mara nyingine inachekesha unapomuona mkuu wa nchi eti anatembea na pistol kiunoni; anajihami dhidi ya maadui gani wasioweza kumpata wakimuhitaji?
 
Hii ingefaa kwa tiziiii
Kwa sababu Sahv tuna Hela nyingi tunge I order jingalao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…