NDEGE YAONDOKA HONGKONG 2025 YAFIKA MAREKANI 2024

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.

Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache baada ya jiji hilo kuukaribisha Mwaka Mpya.

Baada ya kuvuka kanda tisa za saa na Mstari wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tarehe katika safari yake ya saa 14, ndege hiyo ilitarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles saa 4 usiku tarehe 31 Desemba 2024 - ikiwa ni muda muafaka kwa kuhesabu masaa mawili ya kuukaribisha Mwaka Mpya tena.

Huduma ya kufuatilia safari za ndege, Flightradar, ilichapisha ujumbe kwenye X (zamani Twitter), ikisema:
"Ndege hii imeondoka Hong Kong mwaka 2025 na itatua Los Angeles mwaka 2024."
"Baada ya saa 11 na nusu angani, ni wakati wa kusherehekea Mwaka Mpya tena!
 
Siyo Jambo la ajabu hata kidogo, hiyo ni jiografia ya kawaida kabisa. Hakuna kitu kinachoshangaza hapo.

Kama umeshawahi kusafiri kwa Ndege (direct flight) kutoka nchini Australia kuja Afrika hususani South Africa utakuwa umeshawahi ku-experience kitu cha namna hii. Utagundua kwamba ulipoanza Safari yako ukiwa Australia ilikuwa let say tarehe 3 Januari na umewasili South Africa inakuwa tarehe 2 Januari, haya ni masuala rahisi kabisa ya Geography hususani kuhusiana na masuala ya Time Zones (Longitudes and Latitudes).
 
Ni kweli kabisa hatujapinga
 
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.

Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache baada ya jiji hilo kuukaribisha Mwaka Mpya.

Baada ya kuvuka kanda tisa za saa na Mstari wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tarehe katika safari yake ya saa 14, ndege hiyo ilitarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles saa 4 usiku tarehe 31 Desemba 2024 - ikiwa ni muda muafaka kwa kuhesabu masaa mawili ya kuukaribisha Mwaka Mpya tena.

Huduma ya kufuatilia safari za ndege, Flightradar, ilichapisha ujumbe kwenye X (zamani Twitter), ikisema:
"Ndege hii imeondoka Hong Kong mwaka 2025 na itatua Los Angeles mwaka 2024."
"Baada ya saa 11 na nusu angani, ni wakati wa kusherehekea Mwaka Mpya tena!
Time is illusory.
 
Back
Top Bottom