P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 451 Jul 20, 2014 #21 MUNGU mkubwa !!!!!!!!!!!!!!
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jul 20, 2014 #22 Hivi juzi tu ilitokea ajali Nairobi, ndani ya mwezi mmoja Kampala, hebu tuchukue tahadhari kwenye vyombo vyetu vya angani
Hivi juzi tu ilitokea ajali Nairobi, ndani ya mwezi mmoja Kampala, hebu tuchukue tahadhari kwenye vyombo vyetu vya angani
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,374 Reaction score 6,857 Jul 20, 2014 #23 Madame B said: mie ningeomba niondoke nao. Maisha ya Bongo yameshanichosha Click to expand... Hata hapa bongo mbona kuna watu wanaishi kama mtoni tu....njoo kwangu banana huku uone tofauti.
Madame B said: mie ningeomba niondoke nao. Maisha ya Bongo yameshanichosha Click to expand... Hata hapa bongo mbona kuna watu wanaishi kama mtoni tu....njoo kwangu banana huku uone tofauti.
jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,404 Reaction score 4,973 Jul 20, 2014 #24 sipati picha hilo dege lingetua shambani kwa kansiime mbona wazungu wangejuta!