Ninavyofahamu, ndege zote za hawa waheshimiwa siku zote fomalities za customs na immigration wanafanyia uwanja wa kimataifa kia,kwa ajili yakwenda kufanya shughuli za uwindaji loliondo na wakati huo huo hizo ndege huwa na vibali maalumu vinavyotolewa na Tcaa kwa ajili ya kuingia na kutoka Sio rahisi ndege kuruka moja kwa moja toka uarabuni hadi loliondo. hizo ni porojo tu.