Mtoto wa mama richad kaachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ngedele hii ngoma ni sumu moja mbay sana
Ninachojiuliza kwanin mavoko hapo awali hakuwahi kutoa ngoma kali kama hii why soo
London boy
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna ubaya kupiga pamba ile ileYa kawaida..halafu kumbe siku ile anaenda BASATA ndo alikua ametoka location! pamba zilezilee
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kuusikiliza tenasiskilzi wimbo siku moja nikauelewa, nikielewa ujue ni mzuri sana..ntarudia kuskilza.. Najaribu..najaribu
Sent using Jamii Forums mobile app