ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Anaongelea ccm ipi? Aacha kuchora watu“CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu”Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa NEC Mkoa Wa Mbeya Mwaselela Ndele.
well done,“CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu”Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa NEC Mkoa Wa Mbeya Mwaselela Ndele.
Hata ukiwadanganya watoto wa chekechea watakuambia uongo,na kuwa hiyo ndiyo furaha yenu na furaha ya chama chenu na uongozi wa chama chenu!“CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu”Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa NEC Mkoa Wa Mbeya Mwaselela Ndele.
Video: Mbali TV