Ndele Mwaselela aichafua St Patrick high school kwa kuwatapeli waalimu na wazazi

Joined
Aug 31, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Mkuu wa shule kubwa alosoma Felix Mkosamali na Inayofadhiliwa na Ma Salma Kikwete Bw Ndele Mwaselela amewatapeli waalimu na wazazi huko DUMILA NA DAKAWA mkoani MOROGORO. Waalimu walipaswa kulipwa tangu tarehe23 Nov 2014 lakin mpaka sasa hajawalipa waalimu hao na hata simu zao hapokei.

Aliahidi kwenda huko dakawa na kuwalipa tarehe 5 Dec 2014, lakini alipofika aliwaahidi kulipa kesho yake. Nilikuwa kikazi maeneo hayo nami niilimwakilisha mzazi katika kikao hiko cha wazazi ambapo tangu asbuhi alipoahidi kuja alifika saa moja jion, kilichoshanngaza ni kuwa wazazi walimngoja na kuwatetea walimu kwa jinsi walivyofundisha vizuri watotot wao.

Mkuu huo aliahidi kulipa tarh 6 dec kesho yake ifikapo saa 4 asbh lakini mpaka sasa hajaonekana na kwa kuwa alikuwa haaminiki alisaini kwenye karatasi kuwa angelipa kesho yake. WALIMU HAO WAMEKWENDA KUMFUNGULIA MASHTAKA KWA WIZI WA KUAMINIWA NA WAZAZI PIA WANADAI MALIPO YAO KWANI HAONEKANI NA WATOTOT WAO HAWASOMI
ST PATRICK MISION HIGH SCHOOL MIVUMONI TEGETA DSM
 
Headmaster form lever ambaye alikuwa patron?? Maajabu lakin yametokea patrick mission. Wazazi mnapptezea watoto wenu muda wao bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…