Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa mara ya kwanza nimemsikia huyu jamaa kwenye siasa za Mbeya, ni kwenye yale Maigizo ya Tulia Ackson kwenye Ngoma za Asili, kugawa cement kwenye shule mbalimbali na kubeba Majeneza.
Sasa leo nimeshangaa kusikia eti kashinda U NEC wa ccm Mkoa wa Mbeya, ina maana ukiwa mpambe au Chawa wa Tulia basi maana yake unaweza kushinda chochote Mbeya?
Tukiachana na hiyo ya kushinda U NEC, lakini Je huyu Ndele Mwanselela ni nani hasa?