Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kwani Tulia naye ni Sukuma gang kama wewe?Nampenda sana Tulia anasiasa za kisasa za project za kutoa ili kupata kusaidia jamii kujikwamua kimaendeleo...
Aiseeeee !!Ndele Mwaselela namjua sana huyu jamaa!
Mwaka 2009 baada yakutoka chuo sina mbele wala nyuma, niliomba kupiga chalks chule moja ya Patrick Makoyola inaitwa (Patrick Mission) kule Mivumoni Dsm!
Nilipofika pale, nikamkuta Ndele Mwaselela kama Mwal Mkuu, alinipokea nikapangiwa vipindi, Salary was 250k kwa mwezi!
Pale shule nilimfundisha mtoto wa Dr Janab, siku moja Janab akiwa Physician wa Jakaya,alikuja pale Patrick Mission kumsalimia mtoto wake! Mtoto wake alikua karibu sana na mimi, mtoto alinitambulisha kwa Baba yake, The rest is history!
Ndele Mwaselela anapenda sana siasa na nina imani atapewa moja ya majimbo ya huko Mbeya atupe karata yake, maana naona yuko karibu sana Tulia Ackson!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
nisamehe mkuu , ni kweli mimi ni wa Mbeya , lakini nawezaje kuwajua watu wote wa Mbeya ?Hivi wewe utaacha lini hizi post za kimajungu majungu? Wewe ni mtu wa mbeya, halafu unatuuliza sisi watu wa Nkotokwiana, Newala habari za mtu wa mbeya; huu kama siyo 'unanii' ni kitu gani? You need to grow up bro.
Wewe Erythrocyte unaitakia nini CV ya mwana CCM?Kwa mara ya kwanza nimemsikia huyu jamaa kwenye siasa za Mbeya, ni kwenye yale Maigizo ya Tulia Ackson kwenye Ngoma za Asili, kugawa cement kwenye shule mbalimbali na kubeba Majeneza.
Sasa leo nimeshangaa kusikia eti kashinda U NEC wa ccm Mkoa wa Mbeya, ina maana ukiwa mpambe au Chawa wa Tulia basi maana yake unaweza kushinda chochote Mbeya?
Tukiachana na hiyo ya kushinda U NEC, lakini Je huyu Ndele Mwanselela ni nani hasa?