jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
Mpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Hii ni gari au usafiri?
Acha kufananisha magari na vitu vya kijinga!
RealMavugo analamba 4.5??? Duh!!
Matopeni acheni wivu ,hata neti ya mbu hamjawahi toa hata kwa mchezaji anaejituma kina ngoma wanalala palepale matopeni mnawanunulia dawa za mbuu za kuchoma.ujinga kweli nimekimbilia nione gari matokeo yake nakutana na baby walker waai
Wewe fala hata mishahara mmeshindwa kulipa. Mishahara yenyewe kama ya wafanyakazi wa ndani mmeshindwa!sembese magariujinga kweli nimekimbilia nione gari matokeo yake nakutana na baby walker waai
Mimi na Master yangu ya Finance ananizunguka mara 4.5 bila tijaMavugo analamba 4.5??? Duh!!
Huyo mwajiri wako mlete mahakama ya taaluma. Hatuwezi kukubali udhalilishaji wa namna hii...Mimi na Master yangu ya Finance ananizunguka mara 4.5 bila tija