Sehemu ya usajiri wake,Dogo si tuliambiwa a nataka kutimkia ulaya?jiongezeKatika mchezo unaohusisha watu wengi kuufanikisha huwezi kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja pekee. Kitendo hicho kinaweza kutendwa na watu binafsi au taasisi nyingine lakini sio kiongozi wa timu. Kiongozi wa aina hii anawagawa na kuwafunja moyo wachezaji wengi kijiiinga kabisa.
Ndemla kacheza na kupeana pasi na wenzake kwanini kiongozi ampe mchezaji mmoja zawadi ya gari na kuwaacha wengine wote hata akina Kichuya waliofunga magoli?
Matokeo ya kuzoazoa ovyo viongozi kutokana na uwezo wao kifedha. Wachezaji wengine wanaweza wasimpe Ndemla ushirikiano uwanjani. Hata kama zawadi hiyo inatolewa kwa malengo mengine ambayo hayako wazi bado, basi itolewe kisayansi bila kuwavuruga wachezaji wengine kwenye club.uongozi usio na akili! hajajua impact! better akatoa bonus for the team
Kuna utaratibu shirikishi wa kiofisi wa kumpata mfanyakazi bora usioacha mashaka na manung'uniko kwa wafanyakazi wengine, sio kama Hanspope alivyofanya. Hata huko ofisini kama atapewa ufanyakazi bora mtu ambae sio wafanyakazi watasema na kunong'ona.kwani ofisini anapochaguliwa mfanyakazi bora wa mwenzi na kupewa zawadi kwani hao wengine hawafanyi kazi.
Katika mchezo unaohusisha watu wengi kuufanikisha huwezi kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja pekee. Kitendo hicho kinaweza kutendwa na watu binafsi au taasisi nyingine lakini sio kiongozi wa timu. Kiongozi wa aina hii anawagawa na kuwavunja moyo wachezaji wengine kijiiinga kabisa.
Ndemla kacheza na kupeana pasi na wenzake kwanini kiongozi ampe mchezaji mmoja zawadi ya gari na kuwaacha wengine wote hata akina Kichuya waliofunga magoli?