Ndemla kwenda KMC kwa mkopo ni maamuzi mazuri kwa maendeleo binafsi na Taifa kwa ujumla

muda wa ukombozi

Senior Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
129
Reaction score
118
Akiwa anafikiria kuondoka kwa @realcloutuschama na luis_miquison kuta leta unafuu wa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara @simbasctanzania ikamletea wachezaji 4 kwenye nafasi hiyo @dcduncun nyoni @peterbanda @papeousmanesakho @ sadiokanoute kwa hali hii maamuzi aliyofanya ni sahihi kwa manufaa yake na timu yetu ya Taifa.

Ni maamuzi mazuri sana kwa kipindi hiki ambacho mamlaka ya soka imeruhusu timu kusajili wachezaji 12 wa kigeni na kuruhusu 8 kuanza kwenye kikosi cha kwanza, hii inamaana wachezaji wa ndani watakaopata nafasi ni watatu tu, kwa hesabu rahisi timu haziwezi kusajili wachezaji wa kigeni ambao watalipwa mishahara mikubwa alafu wakae benchi ni ngumu sana.

@ Said Ndemla ni katika viungo bora ndani ya ardhi ya Tanzania kuwahi kutokea, ana sifa lukuki ambazo viungo wengi hawana ndani ya ardhi hii ya Tanzania na ndiyo maana ata alivyokuwa anakaa benchi @simbatanzania bado mashabiki walimkubali na hawakuwa na shida naye kwa maana wanajua kipaji chake.

Waandishi wakongwe kama wakina @shafiihdauda, @eddokumwembe @oscaroscar na wengine kuna kipindi walimshauri hili la kutafuta timu ambayo atapata nafasi ya kucheza lakini naamini wakati ulikuwa bado haujafika.

Namuona @saidndemla akirudi kwenye timu ya Taifa kwa mara nyingine, namuona akirudi Simba akiwa na kiwango bora zaidi na ongezeko la thamani kubwa sana, nakutakia kila la kheri ukiwa kwa mkopo @kmc kakiwashe huko amini kwamba una mashabiki wengi wali kosa burudani ya sanaa ya miguu yako pale kwenye dimba la kati, naamini msimu huu watafurahisha macho yao, naamini haitajutia.


 
Miraji Juma,ameachwa au ameenda kwa mkopo Kmc?..kila la khery Ndemla.
 
Kapelekwa KMC kwa mkopo ili kiwango chake kikiwa bora arudi Simba SC.

Ni sawa ni kusubiri Maembe chini ya Mpapai, Acheni Ndemla aanze safari yake ya Maisha nje ya Simba SC.
 
Ndemla hana kiwango chochote cha ajabu na huko anaenda kusugua tena benchi akileta ubishororo wake.
 
Kwenda KMC ni kitu kingine kupata nafasi ya kucheza ni Juhudi binafsi si rahisi ki hivyo anatakiwa kupambana.
 
Asijiingize kwenye bangi, ngada, ushoga, umalaya na ulevi atafika mbali
 
Tatizo hawa watoto wanapenda sana chini, vyupii!
Wangeaacha ngono wasubiri wakifika 30 years waoe sasa wao kila mkoa wana vichenchede na bangi pia zinachangia kwahiyo kwa SIMB A NDMLA HANA NAFASI, aende tu tupo nyuma ytake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…