Ndesambulo yuko wapi?

fullcup

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
809
Reaction score
2,204
Hili jina kwangu sio geni na Leo nimejikuta nalitamka wakati napumzika kwenye mti.

Iko Hivi nimetoka shambani kuvuna alizeti Sasa wakati natua mzigo nikavuta pumzi nikawa naitoa taratibu na kusema " Ndesambulo"

Sasa naomba wanabodi mnijuze huyu alikuwa au ni nani na yupo wapi anafanya nini maana huenda akawa ni connection yangu kwenye ajira za SENSA na UALIMU maana sio kawaida yangu kutaja majina ya watu.
 

Ila yeye amemuulizia Ndesa Mbulo sio Ndesa Mburo
 
Alifariki zaidi ya miaka 4 iliyopita..

Siwezi kushangaa maana leo kuna staff mwenzangu wa idara nyingine kaniulizia staff mwingine wa idara yetu.

Nikamwambia huyo alishafariki miaka 2 iliyopita, jamaa akashangaa na kusikitika sana na akasema hakujua na hana taarifa.

Hivi vitu vinatokea.

Mwaka 2004 BBC Swahili kama sijakosea walienda huko kwa wamasai, wanawahoji wakasema rais ni Nyerere, nikashangaa, Nyerere alishakufa miaka 5 nyuma na alishastaafu miaka 19 nyuma ila jamaa hawana taarifa.
 

Samahani kwausumbufu maana enzi nipo chuo miaka ya 2014 huko alikua hakakuki kwenye ulimwengu wa kisiasa. Baada yachuo nipo home ndo nimenunua simu juzi juzi kwahiyo sikuwa na taarifa hii kabisaa. E.R.P kamanda
 
Yupo alipo jiwe
 
Ndesa kavuta kitambo sana na yake imepaki nyumbani kwa Aikaeli Mbowe
 
Bangi la Mara si mchezo unaweza ukavua nguo uogelee kuvuka barabara.
 
Ndesa pesa aliipendezesha Moshi nadhani alifariki mwanzoni mwanzoni kipindi tumempa magu nchi ila kumbukumbu hapo Sina vizuri. Ila kaiacha redio yake Moshi Fm bado nasikia ipo hewani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nchi bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…