Ndesamburo anunua helkopta za kampeni Chadema

 

wajenge shule za albino wakati CCM inafanya nini.We lala bana unaudhi watu tu hapa.tuache na CHADEMA yetu na wewe kaa na li CCM lako
 
sio kila kitu what ccm does ndo wapinzani waige usikurupuke mkuu
hongera kwa kuwa chadema me i'vnt decided yet
namaana helkopta si muhimkama matatizo yaliyopo sasa
 
 
Hivi nchini kwetu hawajaona umuhimu wa kuwepo regulatory body especially kwenye hii misaada kwa chama au mgombea. Maana mtu anapofikia kutoa milioni mia nne kwa chama unategemea utamnyamazisha pale atakapodai kitu fulani ndani ya chama au kwa muhusika?
Hii ni hatari sana kwa demokrasia.
 
Ni mwanzo mzuri...... kama chama lazima wawe na vitendea kazi ili kurahisisha kazi zao kwa sababu CCM wananjenga barabara bagamoyo tu.
 

Hicho chama hakiwezi kushuka toka Mbinguni Mkuu, ni lazima kijengwe na Binadamu kama wewe, na kumbuka kuwa binadamu hao hawakusanyi kodi, so wanategemea zaidi Michango ya watu kama Nyinyi akina Semenya ili waweze kufika sehemu Mbalimbali za Nchi na wakiweza kuwafikia wananchi tukapata uwakilishi mzuri hapo ndipo hizo result ( matokeo) yako yataonekana.

Huwezi kulalamika eti wajenge Shule kwani wao ndio wanakusanya Kodi? Hivi unajua maana ya Serikali kukusanya Kodi wewe?
 
Ni mwanzo mzuri...... kama chama lazima wawe na vitendea kazi ili kurahisisha kazi zao kwa sababu CCM wananjenga barabara bagamoyo tu.


Mkuu magezi nimeipenda hii sana sana mkuu . Ni kweli CCM sasa kila kitu Bwagamoyo .
 
sio kila kitu what ccm does ndo wapinzani waige usikurupuke mkuu
hongera kwa kuwa chadema me i'vnt decided yet
namaana helkopta si muhimkama matatizo yaliyopo sasa

Semenya,kuwafikia wananchi na kuwaeleza kuwa matatizo yaliyopo sasa yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na upigaji kura wao si muhimu?
 
Haya ni matokeo ya nadharia za sasa ya CHADEMA kuhusu watanzania

  • Halaiki ya mashabiki na wafuasi katika siasa za kitanzania inavutwa na kitu ambacho wengi wangependa kukiona kwa karibu, mf.Helkopta
  • Halaiki ya wafuasi na wanachama katika siasa za kitanzania inapenda kujitambulisha na chama kinachomiliki mali inayoashiria ukwasi wa chama husika,mf.Helkopta
 
Ndesa anatengeneza justification ya kutafuna pesa za kampeni za Chadema kwa kisingizio cha mafuta na matengenezo ya Chopa. Wajinga ndio waliwao, chambo cha maini hicho mzee Ndesa atakamua ki ulaini ( off course akishirikiana na Mbowe )
 
kumbe ccm ina wafadhili!!!
mimi nilikuwa sijui
mtu anakuibia bilioni 4 halafu baadae anakuja anakupa mil 400 ili usimshitaki, ukishapokea hiyo hela badala ya kumshitaki unamuita mfadhili, du!

ndesamburo anaweza ku qualify kuwa mfadhili kama ajakiibia chadema, watu mlio ndani ya chadema mnaweza kuthibitisha hili
 

Sasa kwa nini usianzishe hicho chama mkuu?

Unataka nani akuanzishie chama kisha wewe ujiunge? wewe ni mtanzania na kama kweli unayosema ni ya ukweli na sio unafiki tu ili ukubali status quo ya jini likujualo (ccm) basi anzisha chama.

Anzisha chama safi mkuu semenya na utapata wafuasi safi.
 
Ndesa anatengeneza justification ya kutafuna pesa za kampeni za Chadema kwa kisingizio cha mafuta na matengenezo ya Chopa. Wajinga ndio waliwao, chambo cha maini hicho mzee Ndesa atakamua ki ulaini ( off course akishirikiana na Mbowe )

Naona mkuu umeanza utabiri. Yangu macho tu ila mzee Ndesa mambo yake anayofanya jimboni kwake ni makubwa - sijui kama hizo pesa nazo anatumia ili kuwaibia wana jimbo wake.
 
Ndesa anatengeneza justification ya kutafuna pesa za kampeni za Chadema kwa kisingizio cha mafuta na matengenezo ya Chopa. Wajinga ndio waliwao, chambo cha maini hicho mzee Ndesa atakamua ki ulaini ( off course akishirikiana na Mbowe )


Masatu,

Iwapo Chadema katika chaguzi zake huwa wanakodisha Chopa kwa 500USD kwa siku; na sasa Mzee Ndesa amekubali kuwakodishia wa 250USD kwa siku kwa nini unasema wajinga ndio waliwao wakati ambapo pesa za wanachadema zinatumika kwa ufanisi zaidi??
 
Masatu Ndesa hana shida ya pesa. Gharama ya helicopta mbili huwezi kuirudisha kwa bei ya mafuta!! hiyo investment inachekesha!. Masatu ni lazima tufikirie kidogo kabla ya kutoa mawazo. Ukweli ni kwamba huyu ni mzee tajiri, kafanya biashara kihalali na anajali watanzania.Siyo kila mtu anayesaidia au kuwana uchungu wa nchi ana agenda ya siri kuna watu wengi wenye uchungu na nchi na wanataka kutumia pesa zao kusaidia maisha ya watanzania. Huyu mzee ameamua kusaidia kwa kuwa mwanaharakati.
 

Kamundu
Ni kweli. Huyu mzee angekuwa mwizi CCM wangeshamtenda vibaya siku nyingi. Huyu ni kati ya wazee wachache sana wanaozekeeka vizuri sana. Kukomaa na jimbo la Moshi Mjini na bado jamaa hata CCM wanampa salute, si mchezo ina maana anafanya kazi
 


Kulikoni Helkopta na Mkoa wa Kilimanjaro?????? Tukisema CHADEMA ni ya wachaga tutakosea au jamaa anajaribu kujenga mazingira aendelea na ubunge bila kupingwa kama Mheshimiwa Mwenyekiti wao?

Ushauri wa bure kwa CHADEMA acheni kutoa kipaumbele uchagani mjenge chama chenu maana neema zote zahamia huko au mnafikiri wanachama wenu hawalitambui hilo.....Pelekeni kwa zitto kigoma au mikoa ya kusini ambako CCM inajitanua kwa kukosa chama cha kuwafumbua macho wamakonde wale.
 

Mkuu hizo ni Helicopter za Ndesa na Siyo za CHADEMA. Kwa nini wewe usinunue upeleke huko Kusini?
 
Mkuu hizo ni Helicopter za Ndesa na Siyo za CHADEMA. Kwa nini wewe usinunue upeleke huko Kusini?

Hapa tunamzungumzia Ndesamburo kanunua helkopta kwa ajili ya CHADEMA soma hiyo headline vizuri ili uache kujibu PUMBA.

Na suala la Helikopta kuwa mali yake asingeuambia umma kuwa amewanunulia CHADEMA....tena zitaanza kutumika uchagani. Huoni kama ni coincidence....hiki cha kilichokuwa kikijulikana kama "Chaga Development Man" au hukumbi ile kashfa ya ukabila kujaa kwenye hiki chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…