Ndesamburo,
Yaani alihitimisha ingekuwa China- sii kujiuzulu tu- ni pamoja na kupigwa risasi!
Hivi kweli sheria zetu za Mwingereza zinafaa kutatua matatizo kama haya?
Our present Laws so leanient- ndo maana ufisadi unaongezeka!
Angalia sheria za Singapore, Malaysia, na China ndo zimewafikisha hapo walipo leo!
Tungekuwa na sheria kali na kuzifuata- tungeshafika mbali kimaendeleo!