mi sijui ya kwenye hiyo picha inaitwaje ..
hizo ndo nizipendazo..
napenda zikionekana "rough" kidogo...
Afrodenzi ! Hivi wajua kama unatukata stim ? Unaturusha sio siri ! Utaniuliza kwa nini ? Ni kwa Kukatiza route ! Unaposema " zinakupeleka kwengine" na kisha usipataje na sie ndiyo ushatutia mshawasha tena twawasha has'saa ! Tujue huko KWINGINE WAPI ? Hembu tufikishe mwisho wa route, hututendei haki.
Alafu ndevu zina watu wake bana.... Waweza muangalia mtu usimalize.
Alafu ndevu zina watu wake bana.... Waweza muangalia mtu usimalize.
eti enhee...
Sio rough bwana
Ila ni advanced style ya ndevu, so yummy!
You got a taste, huh!
wewe una ndevu kama hizo??
Ni unamtazama
Halafu unapotelea kwenye ndevu kama sisimizi
Unatamani kuoneshwa njia ya kutoka hapo
Kweli ndevu huwapendezesha, hasa kama mwenye nazo anapatia swaga zake
ndo maana kuna dada kila nikikutana naye ananiangalia mpaka naona aibu naamua kumkimbia. Kumbe ndevu zangu zinamfanya amalize haja zote!
Mimi na amini wazi zina mana sana.....Ingekuw hazina mana Prophet Mohamed na Yesu wasinge zifuga...Yani zinaonyesha wewe ni dume..
Lakni siku hizi wanawake ukifuga ndevu, wanasema kwani umekuwa Osama....ndo mana tunazifyeka.
Lakni kama una ndevu kama za Osama, wakati unabanjua demu huwa zina saidia sana...Zinamtekenya tekenya mashavu yule demu na hapo ndo anapozidi kuchanganya kwa speed kali ....:lol:
Sio rough bwana
Ila ni advanced style ya ndevu, so yummy!
You got a taste, huh!
yap!! lol
Yaani AfroD kanikosha kweli na ile picha.... I wish mtu a Upload hapa
picha ya fellow member Jmushi alafu na Gerald Butler akiwa na ndevu....
Duh, huyu akishakua ubweche halafu ukung'ute huo mzuzu wake unaweza pata kibakuli kizima hapo Afrodenzi.
Ooohh!!! Kumbe ndevu...
Kumbe hata we unapenda ndevu ..lol
Yaaani we Kongoshao Umenipata kabisa! My words in you mouths aisee....
Umeona swagger ya avatar ya Jmushi? the guy.... mmmh! Nisiseme mengi aisee..lol
yap!! lol
Yaani AfroD kanikosha kweli na ile picha.... I wish mtu a Upload hapa
picha ya fellow member Jmushi alafu na Gerald Butler akiwa na ndevu....
mi sijui ya kwenye hiyo picha inaitwaje ..
hizo ndo nizipendazo..
napenda zikionekana "rough" kidogo...