Ndevu: Je zina umuhimu wowote katika mahusiano?

Sweetie I am SORRY... jana nilisahau kukupa ujumbe wako....

Baba alikuja jaana home anadai zile ng'ombe tumeacha kijijini ni bora ziuzwe tu....

Sio 'zile ng'ombe' ashaDii, ni 'wale ng'ombe'.
 
Hizi ni ndevu au mapembe ya ng'ombe?
Ha ha ha, umenichekesha wakati sijapata staftahi.

mikonge ya tembo.....au kifaru....maana...sijui kapaka jelly ili zikakamae..
 
Kongosho ukisikia ndevu ndio hizo sasa......


HAHahahaaa..huyu sasa kafunika! amezi-tong ndevu zake....(wadada watanielewa)

Kongoshooooo....yale mambo ya kupasi nadhani yamepata mpinzani..
 
Kapaka na jelly ya kutosha, kakaa kwenye draya
Hapo ukizilalia zinavunjika kama kau kau au crips

HAHahahaaa..huyu sasa kafunika! amezi-tong ndevu zake....(wadada watanielewa)

Kongoshooooo....yale mambo ya kupasi nadhani yamepata mpinzani..
 
Kapaka na jelly ya kutosha, kakaa kwenye draya
Hapo ukizilalia zinavunjika kama kau kau au crips

I swear nimecheka sana...eti kama kau kau...aisee lazima zikutoe kidonda ukifanya masihara..
 
Si ukosoi uumbaji wa mwenyezi wangu lakini kweli ndevu zinanikera sana. Zimenigharimu sana na ninazo nyingi sana hadi inakua kero maana ili mashavu yawe masafi kidogo inabidi ninyoe at least mara tatu hadi nne kwa wiki na ujue nanyolea mashine kama ile ya saluni maana hizi mashine zote na dawa zote zinanitoa vipele sana, usiskie adha ya ndevu wewe na sasa ndi zimejaza mvi, yaani zinakua nyeupe!!!! anaependa ndevu namshangaa
 
hujaamua kuzitumia ipasavyo
Tafuta ndevu designer mzuri
Afu uwe na ndevu swaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…