'Ndevu za Mbowe' zampata Selasini

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Mtindo mpya wa kuacha ndevu zilizo na mvi 'ulioibuliwa' na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe umeonekana kupata wafuasi baada ya Mbunge wa Rombo Joseph Selasini kuonekana katika mtindo huo.

Mbowe aliibuka na mtindo huo baada ya kutokea mahabusu kwenye kesi yake inayoendelea Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu pamoja na viongozi wenzake waandamizi wa CHADEMA. Tangu hapo, Mbowe amekuwa na muonekano mpya.

Tazama hapa:

 
 
Binadamu tuna mambo mengi sana...


Cc: mahondaw
Usishangae hako kamnyoo wanaume wote wa Kilimanjaro wanakaiga.ila hako kamyoo mwanzilishi Ni profesa baregu mbowe na salasini ilitakiwa kwenye kidevu waandike haka kamnyoo tume copy kwa profesa baregu.Lakini kwa kuwa hawajasoma hawaelewi Mambo ya copy right.Profesa baregu waburuze wote mahakamani kwa kuiga unyoaji wako wakulipe
 
View attachment 780668
New style in town,ngoja namimi niige
Zidumu fikira za kiongozi wa maiisha wa jamhuri ya kidemokrasia ya Chadema mheshimiwa Kim Jong Un Mbowe na zidumu stail zake za kunyoa kidevu.Korea kaskazini wanaume wote hutakiwa kunyoa mnyoo wa kiongozi mpendwa naona ya Korea kaskazini yametua chadema
 
Nadhani umechanganya taarifa,korea kaskazini Kim Jong ameruhusu kunyoa style 28 tofauti ila hakuna anaeruhusiwa kunyoa style ambayo Kim Jong hunyoa.
 
Akili za fisiemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…