dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 514
Mapenzi yana rangi nyingi aisee..
Juzi kaja mtu hapa anasema yeye bila ndevu hajisikii raha..
Wewe leo tena ndevu ni kero...lol
Sasa sijui tufanyaje sie wajukuu wa Osama!!
mbona wenzio 'huko kuchomwachomwa ndo wanakupenda'?
kwani nyie wenzangu mnachomwaje? Mi nahisi uchungu kama nachomwa na pin.
unamuona kumbe?
ahahahhaha dah huyu analeta bangi polisi naona !we taratibu
unaniuliza mimi hilo?
hebu tuheshimiane
The Boss tutakuja kurushiana ngumi humu aisee..
Mtu kusoma hajui hata picha jamani..ha!
Kuna mtu alishawahi kuniletea habari hizi hizi aisee..
Nilifanya kumheshimu tu ila alini'embarass' sana..
pacha si ungenyoa tu!kwa hiyo ukawa mduchuuu!hata busu lenyewe likaishia hapo hapo!
we taratibu
unaniuliza mimi hilo?
hebu tuheshimiane
we taratibu
unaniuliza mimi hilo?
hebu tuheshimiane
Kunyoa inakuwa ngumu pacha..
Unajua ndevu kwetu wengine ni 'identity' aisee..
Tutazishape kila aina ya stahili lakini sio kuzitoa...