Nataman nikamuambie hivi "Mpenzi wangu nakupenda ila tatizo linakuja pale unapotaka kunibusu yaani ndevu zako kali kama pin huwa unanichoma pindi unaponibusu maeneo fulan ya mwili wangu" Kweli kwenye mapenzi wadada tunavumilia mengi.
haa!!....nyoa bana.......
Mwanaume bila ndevu nahisi atakuwa siyo!! we unayechukia ndevu una lako jambo!!! jifunze kuzipenda utazoea
Roots za ndevu zinazonichoma so akinyoa ndo balaa linakuwa kubwa haswa zikianza kuchomoza
kuna type ya nywele zinachoma kama sindano, kama pale kwangu na-prefer kusiwe na tofauti kati ya mwanaume na mwanamke