Ndevu

Ukiwa na ndevu, zinakufanya upendeze some time Kama unazitunza Kwa umakini

Ila kuna kuna Wanawake vichefuchefu, hao n shida utasikia Mara midevu yako Kama brash, Mara sijui Kama migumu ya mende

..oohh ukirudi usirud nazo ushave huko huko

Hapo ndo utakuta wanaume tunakuwagawapole Kwa stail hiyo inabidi to tushave kuokoa mahusiano yetu,
Lol[emoji41][emoji41]
 
Mwanaume ndevu kunyoa ndevu ni kujifananisha KE kidevu changu always kipo na ndevu na naziudumia kwa kujipaka mafuta
 
Huo ndio Uboya Mkuu mwanamke akupangie muonekano wako
 
Kwenye mwili wng napenda sn ndevu, nazichonga vizuri zinakuwa smart, sasa unakuta janaume limenyoa ndevu zote mpaka za juu sijui yanakuwa yanawaza nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…