Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post zako zinanifurahisha saana
Post zako zina busara saana
Natamani brain yako iwe yangu.
Yote haya ni post za wewe tu.
Big Up Kijana. Opps Babu.
Thx Damie. Hata mie nilijiunga JF kutokana na Busara za Babu Asprin
Naisubiria kwa hamu...utatuma lini vile?Kiukweli sijajaribu ila naona napaswa sasa
Hahahaha....kugongwa na TV, AC au Ukuta?Ha ha ha, babu Asprin njoo huku, ila linda moyo usije ukagongwa.
We kijana, naona unamtafutia babu wa watu ubaya! Mabinti zangu hata kubalehe bado, we unataka kuwachakachua na ten sauzend yako!..........C.R.A.P!!Huyu Babu yangu ana busara sana sema tunagombana naye tu, pale nikimwambia nataka kuoa nyumbani kwake basi anakuwa mkali kweli juzi almanusura aniitie polisi alipoona natoka kwake.
BABU JANA ULIKUTA KIBUA, WALI NA MAZIWA YA MGANDO
Bip up babu yaani ndo umeamka tu wajukuu wako tayari na full misifa juu yako. Kweli huwa unabamba uendelee kubarikiwa mpaka ushangae
Laiti ungejua nilivovimba mbichwa...lol
Unaweza kunipata kwenye PM pia.
Nashukuru sana DaMie..... Babu yangu alinambia ni heri umfurahishe mtu kwa maneno matamu kuliko kwa pesa nyingi....kwa sababu pesa yaweza kuisha, lakini maneno huwa hayaishi.
We kijana, naona unamtafutia babu wa watu ubaya! Mabinti zangu hata kubalehe bado, we unataka kuwachakachua na ten sauzend yako!..........C.R.A.P!!
Punguza ukali kwa The Finest babu. Kizuri kula na ndugu yako.
Punguza ukali kwa The Finest babu. Kizuri kula na ndugu yako.
Weweeee!Thx Damie. Hata mie nilijiunga JF kutokana na Busara za Babu Asprin
Sikuwahi kujua haya mapumba nayoyamwaga humu, kwa wengine ni busara...lol
Ahsante my love loveness love.
Naruhusiwa kukuomba urafiki?..... natamani, tatizo kuna watu wana wivu bana!
Post zako zinanifurahisha saana
Post zako zina busara saana
Natamani brain yako iwe yangu.
Yote haya ni post za wewe tu.
Big Up Kijana. Opps Babu.
Sikuwahi kujua haya mapumba nayoyamwaga humu, kwa wengine ni busara...lol
Ahsante my love loveness love.
Naruhusiwa kukuomba urafiki?..... natamani, tatizo kuna watu wana wivu bana!
Weweeee!
Yaani kukukaribisha kooote kule kwa mashamsham, bado hukutambua busara zangu!...Kweli isiyo riziki Hailiki!