Elections 2010 Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU wa Muhambwe: Elimu Darasa la Saba. Ni Rushwa?

Naona hii story ya RaiaMwema la wiki hii inamhusu huyu bwana:




SOURCE: RaiaMwema Toleo 147

Ni mwenyewe kabisa!

Hapo ndio tunadhihirishiwa kuwa maadili is nothing in CCM!

Huyu Jamal: Elimu Darasa la Saba,

Kura za Maoni mauaji ya Albino: Anaongoza

Kura za Maoni Ubunge CCM: Anaongoza

Siri ya Mafanikio: NUNUA CHOCHOTE KWA PESA YAKO BWANA.
 

Inasemekana pia aliongoza kura za wauwaji wa Albino. Kwa maneno mengine ameingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kuwa mtu wa kwanza Tanzania kuchaguliwa kuongoza katika kura za aina mbili ndani ya miaka miwili. Moja akiwa kama mtuhumiwa na ya pili akiwa kama mheshimiwa.

CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…