Ndimu ya unga ina faida na madhara gani?

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
655
Reaction score
1,069
Wakuuu hongeren kwa mapambano ya kujenga taifa

Nataka jua faida ya ndimu ya unga na pia kama inaweza kuwa na madhara pia

Na je ina virutubisho sawa na ndimu za kawaida

Na je ina madhara yoyote kwa mwanaume hasa kwenye suala la utendaji kaz kwa via vya uzazi wa mwanaume

Naomben wataalam wa afya muweze kutuwekea sawa hili na pia watu wa tiba asilia

Naomba kuwasilisha
 
Hiyo nikiiweka mdomoni tu mate yanasisimka kutoka huku mashavuni na kichefuchefu
 
Wakuuu hongeren kwa mapambano ya kujenga taifa

Nataka jua faida ya ndimu ya unga na pia kama inaweza kuwa na madhara pia

Na je ina virutubisho sawa na ndimu za kawaida

Na je ina madhara yoyote kwa mwanaume hasa kwenye suala la utendaji kaz kwa via vya uzazi wa mwanaume

Naomben wataalam wa afya muweze kutuwekea sawa hili na pia watu wa tiba asilia

Naomba kuwasilisha
Ina legeza uume.
 
Ukitaka mwanaume aache kutumia bidhaa au chakula au dawa yoyote ile wewe mwambie inapunguza uume au nguvu za kiume au kuufanya tepetepe...atakimbia bila kugeuka...
 
Back
Top Bottom