Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

Yaani watu kutokuwa na cha maana cha ku-post ndo imekuwa nongwa wengine waki-post walichonacho!

Ili kupunguza husda na hinda; mnaweza ku-post hata subwoofer zenu though no one will pay attention sio kwa sababu ni subwoofer bali kv u-star wenu unaishia mitaani na vijijini kwenu mlikozaliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…