Ndinga Mpya ya Ommy Dimpozi

Nilitaka kuuliza hili swali....kila siku tunaona wakina mond wanaswampa hadi bahrain na korea kupiga show ila huyu bingwa simuoni naona anakula matunda sijui kapanda wapi
Hahahah mkuu mji wenu huo wa dar una mambo mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…