Ndio Hivo Tena kama tulivyosikia

Ndio Hivo Tena kama tulivyosikia

Deal28

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
96
Reaction score
114
Mnyama simba ameliwa usiku usiku kimya kimya , baada ya kukubali kichapo cha 3-1 kutoka kwa waarabu wa morocco Raja casablanca😂😂, ila simba heshima yake apewe tu kwa hatua hiyo aliyopo, swali la kujiuliza ni kwamba kuna muelekeo wowote wa matumaini katika hatua anayoifuatia au ndio tukutane msimu ujayo kuianza safari upya?
 
Simba hapo mwendo wameshaumaliza, wakipangiwa ma Mamelodi Sundowns itakuwa ni aibu kwa Taifa.
 
Taifa litatapakaa aibu hadi mama aombe kurudishiwa fedha zake!,hadi simba wa mwituni watazama mitaani kugoma jina lao kutumika watamla yoyote mwenye jezi iliyoandikwa simba..😂
 
Mnyama simba ameliwa usiku usiku kimya kimya , baada ya kukubali kichapo cha 3-1 kutoka kwa waarabu wa morocco Raja casablanca😂😂, ila simba heshima yake apewe tu kwa hatua hiyo aliyopo, swali la kujiuliza ni kwamba kuna muelekeo wowote wa matumaini katika hatua anayoifuatia au ndio tukutane msimu ujayo kuianza safari upya?
Matumaini yapo as long as Kulwa yupo shirikisho basi Dotto lazima akaze kule Ligi ya Mabingwa Ili asije akazomewa akirudi nyumbani mikono mitupu
 
Back
Top Bottom