Simba hapo mwendo wameshaumaliza, wakipangiwa ma Mamelodi Sundowns itakuwa ni aibu kwa Taifa.Mnyama simba ameliwa usiku usiku kimya kimya , baada ya kukubali kichapo cha 3-1 kutoka kwa waarabu wa morocco Raja casablanca😂😂, ila simba heshima yake apewe tu kwa hatua hiyo aliyopo, swali la kujiuliza ni kwamba kuna muelekeo wowote wa matumaini katika hatua anayoifuatia au ndio tukutane msimu ujayo kuianza safari upya?
Taifa litatapakaa aibu hadi mama aombe kurudishiwa fedha zake!,hadi simba wa mwituni watazama mitaani kugoma jina lao kutumika watamla yoyote mwenye jezi iliyoandikwa simba..😂Simba hapo mwendo wameshaumaliza, wakipangiwa ma Mamelodi Sundowns itakuwa ni aibu kwa Taifa.
Matumaini yapo as long as Kulwa yupo shirikisho basi Dotto lazima akaze kule Ligi ya Mabingwa Ili asije akazomewa akirudi nyumbani mikono mitupuMnyama simba ameliwa usiku usiku kimya kimya , baada ya kukubali kichapo cha 3-1 kutoka kwa waarabu wa morocco Raja casablanca😂😂, ila simba heshima yake apewe tu kwa hatua hiyo aliyopo, swali la kujiuliza ni kwamba kuna muelekeo wowote wa matumaini katika hatua anayoifuatia au ndio tukutane msimu ujayo kuianza safari upya?
AahàhahhhaWydad Athletico Casablanca
Experance
Mamelody
Kazi ipo na ONYANGO wetu huyu.
😂 😂 sijui itakuwaje inabidi tutafute vitambaa vya kufuta machoziWydad Athletico Casablanca
Experance
Mamelody
Kazi ipo na ONYANGO wetu huyu.
😂😂😂Matumaini yapo as long as Kulwa yupo shirikisho basi Dotto lazima akaze kule Ligi ya Mabingwa Ili asije akazomewa akirudi nyumbani mikono mitupu